PostGE2025 Rais Samia: Wazanzibar wote tulishikana katika Uchaguzi, ndio maana ikapandisha ushindi hadi 97%

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sio spiritual war labda useme religious war. Spiritual war ipo hata kabla dunia haijaumbwa!
 
..Na kama uchaguzi wa Znz ulikuwa mzuri kwanini kuna mazungumzo ya maridhiano baina ya Ccm na ACT?
Kuna mambo kihesabu siyaelewi, kimantiki siyaelewi. Kuna maridhiano halafu uchaguzi ulikuwa safi
..Huyu Mama nadhani awe anaandikiwa hotuba asiachwe akazungumza mawazo yake.
Ushauri mzuri hasa nyakati hizi ambazo Umma umegoma na umegomea propaganda
Hili la '' Wazanzibar tumeshikamana wakati huu... maendeleo tuliyofanya'' . halisomeki vizuri Tanganyika
Ujumbe hapa ulilenga nini?
 
Zanzibar ina watu ambao hawazidi milioni tano,hizo asilimia 98 zilipatikana vipi?
Shule muhimu sana
 
Hahaha 😆!! Uzanzibari bila kua n utanganyika. Naona anajitekenya wazanzibari kwa uwingi wao hawafikii hata JIJI la DAR.
Kazi ni kipimo cha utu
Dar? Dsm ina wakazi Mil 5+ wakati zanzibar ina watu 1.8M na hapo 500k wanatoka pemba ambayo haijawahi kukipigia kura fisiemu
 
Anazidi kutukera watanganyika mwishowe tutamtukana matusi makubwa ya kumvunjia heshima aanze kututumia wasiojulikana.
 
Huyu mama si muislam, hamuogopi hata mwenyezi mungu kusema uongo, wazanzibar milioni mioja wanaweza kufikisha asilimia 97 Tanzania wakimpigia kura wote!
Na akina Jussa walipiga makofi!
 
SWALI chonganishi wazanzibar hawakunyakuliwa kisa walipiga kura na kurudi kujificha uvunguni MWA kitanda.

ILA watanganyika walinyakuliwa kisa walipiga kura na kurudi majumbani mwao sebureni? (R.I.P) Master Tendwa.)

Je watanganyika waliuwa au walinyakuliwa ?

Ukimaliza kusoma hapo juu, imba wimbo wa " waliokoka, watakuwa wameisha nyakuliwa, kwenda kumlaki Bwana Yessu mawinguni" imba kwa sauti je watanganyika walinyakuliwa?
 
Wakikuwahi utapona
 
Watanganyika sisi ni wapumbavu sana sana, Zanzibarians wanaijua nchi yao, wanaipenda na wana wivu nayo sana. Huku Tanganyika ni wapumbavu tu, wapumbavu sana, kila mtu wa ccm ni mpiga deal.
 
Kweli Watanganyika tumekamatika! 🙆

Aliyeruhusu jambo hili litokee hakika ametukosea sana Watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…