PostGE2025 Rais Samia: Wazanzibar wote tulishikana katika Uchaguzi, ndio maana ikapandisha ushindi hadi 97%

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hesabu zisipopanda mtu hajui kuwa 98% ni kufikirika.
Hata wajomba wote wa Oman wangekuja kupiga kura , mbele ya watanganyika 60 million hesabu inakataa kabisa.
Mtu amkumbushe tu mama kuwa kung'ang'ania ndambi uliyoifanya(uchaguzi wa fake 98% na Okt29 massacre) inaonyesha moyo wa kiburi na kutojutia makosa.
At any rate karma inakuja.
 

Uchaguzi wa mwisho kufanyika Zanzibar ulifanyika 1963 . Baada ya hapo hakujafanyika uchaguzi wowote . Unaofanyika miaka yote ni uchafuzi
 
The worst regime of our nation! Watu laki tano wapandishe ushindi wa wapiga kura 30m+ kwa asilimia 97?

Noma sana!
Kwani hiyo 97 anaiongelea ya Zanzibar au ya jumla ya Rais wa Tanzania ?

Mi nikadhani anaongelea Zanzibar yani Mwinyi. Kwani Mwinyi alitangazwa kashinda kwa ngapi kule ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…