Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

Nchi ngumu sana hii
nchi sio ngumu bali kuna binaadamu wagumu sana kuelewa.
kuna watu kamwe hataelewa hadi anakufa.

Kuna wanafaki na wazandiki ambao kamwe hatobadilika hadi kifo.
aina hiyo ya watu katika uongozi ndio tatizo kubwa sana......
Unafiki, unafiki, unafiki na uzandiki.
 
Unafiki na uzandiki ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo kwa sababu wanafiki tunakula nao na kucheka nao na kupiga nao stori.
 
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.

Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
Huyu Raisi ana low self esteem,na vile Elimu yake ilivyo ya kuunga unga,hajiamini mbele ya wazoefu kama Mulamula,Huyu Raisi akili yake ni ndogo.
Nyerere alimteua Salim Ahmed Salim awe Waziri,balozi mambo ya nje akiwa kijana mdogo sana 22yrs,Salim Ali shine sana huko nje.
Nyerere hakuona wivu kwa sababu alikuwa na akili kubwa.
Mkapa alimpa Kikwete nafasi ya kushine huko nje katika wizara ya mambo ya nje,akili kubwa hizo,sasa haka huyu mzenj,amekosa ukaribisho ndani ya white house,Mulamula amesomea huko US,anajua Kona zote,akaweza kukutana na Raisi wa Dunia, Hili limama la Zenj,limechukia.
 
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.

Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
Mbona hamsemi kajiuzulu?
 
Alfu kweli kairuki s ilisemakana kabisa jiwe alijimilikisha kihalali kabsa ,Hadi akamtundika ujawepezi [emoji23] Kisha akampanga mbelwa china Kaz za kibalozi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mberwa ni balozi China hata kabla yule kijana wenu hajakamatwa na sembe, yeye ndie aliemwokoa, acha kumsingizia mwamba
 
Yaani huyu Mama Kama watanzania tutashindwa kwa umoja wetu kumuondoa ofisini 2025 basi tuache siasa na CCM itawale milele.anaongoza nchiiii Kama nyumbani kwake haiwezekani aisee tukomae bwana sisi ni wanaume gani?
 
Unajuaje kama hajajiuzulu?
Kuanzia awamu ya TANO marais huwa hawapokei barua za mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi wanaopeleka barua za kujiuzuru. Badala yake wanachofanya ni marais kutangaza kuwa wamewatumbua.

Hivyo nina kila sababu za kuamini kuwa walijiuzuru.
 
Unamaanisha rais kazungukwa na wajinga!!!?..kwamba wewe huku una jicho la kuona wajinga serikalini!!?..mkishiba mna shida Sana!!
Mjinga sio lazima aonekane ukiwa karibu naye, hata akiwa mbali utamtambua kwa maneno au maandiko utayosikia/kusoma toka kwake, ndio maana nimekutambua wewe nawe ni mjinga mwingine japo uko mbali nami.
 
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.

Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
Kama ni maamuzi ya kijinga ayakubali tu?
 
Mjinga sio lazima aonekane ukiwa karibu naye, hata akiwa mbali utamtambua kwa maneno au maandiko utayosikia/kusoma toka kwake, ndio maana nimekutambua wewe nawe ni mjinga mwingine japo uko mbali nami.
Mjinga mama yako aliyekubali kupanua ukazaliwa mla kamasi
 
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.

Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
Ni lile bwenga lenye komwe kama tikiti maji
 
Naona exposure inawaponza wasaidizi wa Rais, Rais anataka kila mteule wake afanye vile anavyotaka yeye hata kama hana ujuzi wa jambo husika, hii sio sawa, anakosea.

Mulamula alikuwa na exposure na mambo ya nje toka enzi za JK, na hiyo exposure yake naamini ndio iliyochangia Rais kumpa kile cheo, leo iweje amuondoe yule aliyegoma kuburuzwa kwenye jambo alilo na experience nalo? lililofanya akaaminiwa na kupewa kazi? Rais hajui anachofanya.

Kuwa na wasaidizi maana yake ni kumsaidia Rais, na sio tu kufanya kazi wanazopangiwa, bali hata kwa ushauri pia, hii kauli aliyoitoa Rais itazidi kuzalisha chawa wengi zaidi, wajinga, majeuri, na viburi.

Matokeo yake kina Mwigulu wanazidi kutuburuza na tozo, huku Makamba na Nape na kauli zao za hovyo kila wakati; yeye anataka jambo lolote wakishakaa na kukubaliana serikalini lisipingwe, vyema atambue hata wajinga huwa wana maamuzi yao na yasipoangaliwa mapema yatatuumiza.

Awaache wenye uzoefu wamsaidie, unaweza kuwa na kundi kubwa la wajinga wasiojua chochote kasoro mmoja wao, na kiongozi mzuri anatakiwa kumtambua huyo mmoja.
Mama yuko sahihi kumtumbua Mulamula Kama kweli alipingana na madmuzi ya serikali. Mulamula alipaswa kupinga kwa hoja upitishwaji wa maamuzi haya, unaofanywa na Baraza la mawaziri ambapo naye ni mjumbe
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Wewe unapotosha. Hawakatazwi kupinga lakini hawapingi maamuzi ya pamoja wanapswa kupinga wakiwa kwenye vikao kabla ya maamuzi ya pamoja ya baraza la mawaziri. Pale ambapo maamuzi hayapo kwa mambo makubwa lazima washauriane na Mh. Rais na wakubaliane, siyo kwakua unataka hiki basi unafanya bila mkuu wa nchi kuwa informed hiyo ni Insurbodination ya hali ya juu. Mwisho wa siku anayebeba dhamana ya nchi ni Rais mwenyewe
 
Mama yuko sahihi kumtumbua Mulamula Kama kweli alipingana na madmuzi ya serikali. Mulamula alipaswa kupinga kwa hoja upitishwaji wa maamuzi haya, unaofanywa na Baraza la mawaziri ambapo naye ni mjumbe
Maamuzi ya serikali sio lazima kila wakati yawe sahihi, tusiendekeze hii kasumba ya kikoloni tumeshaona ikitufelisha tulipotoka, hizi tozo zinazolalamikiwa sasa ni mfano wa kuendekeza hayo mawazo ya kijima, waachwe wenye experience watoe ushauri na wasikilizwe, na Rais asijione mungu mtu anapotezwa.
 
Wewe unapotosha. Hawakatazwi kupinga lakini hawapingi maamuzi ya pamoja wanapswa kupinga wakiwa kwenye vikao kabla ya maamuzi ya pamoja ya baraza la mawaziri. Pale ambapo maamuzi hayapo kwa mambo makubwa lazima washauriane na Mh. Rais na wakubaliane, siyo kwakua unataka hiki basi unafanya bila mkuu wa nchi kuwa informed hiyo ni Insurbodination ya hali ya juu. Mwisho wa siku anayebeba dhamana ya nchi ni Rais mwenyewe
Sasa itakuwaje huko kwenye vikao wazo la mjinga ndio likapewa umuhimu, fungueni bongo zenu, mimi nitakupinga hata nje, siwezi kukubaliana na wazo la mjinga kisa nipo nje wakati najua wazo sio sahihi.
 
Back
Top Bottom