johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Itakuwa Zitto na January walijiamulia tu kufuta tozo kwa sababu ya kujiandaa na urais!Kama taifa tumepigwa
Sio nchi ni huyonchi ya kipuuzi sana hii
Ukifuatilia moja ya sifa za wamakunduchi huwezi shangaaaWatetezi wake watakuja kusema anahujumiwa ........haki ya Mungu huyu mtu akipita kwenye uchaguz 2025 ntajua watz tumelogwa
Hajapata kutokea raisi mweupe kichwan kiasi hiki
Na kitu chenye kali sanaKama taifa tumepigwa
Dodo chini ya mwarobaini mkuuWatetezi wake watakuja kusema anahujumiwa ........haki ya Mungu huyu mtu akipita kwenye uchaguz 2025 ntajua watz tumelogwa
Hajapata kutokea raisi mweupe kichwan kiasi hiki