Usisahau, mara nyingi serikali imekuwa inavunja katiba (japo wana apa kwa mbwembwe kuwa watailinda) na kudai ilifanya hivyo kwa nia njema. Mara kadhaa imeshuhudiwa ongezeko la kodi au tozo baada ya budget. Hakuna Mbunge anae hoji maamuzi kama hayo, na wajinga tukisema bunge halina meno tunazomewa.Mama anasema Waziri wa fedha aliondoa Tsh 100 kwenye bei ya mafuta lakini akairudisha kwasababu moja ilikuwa imeshapitishwa kwenye bajeti na pili isingeleta unafuu wowote kwa walaji katika kipindi hiki cha mfumuko...
Labda nikuulize kitu, kwani Samia akiirudisha ndio yupo sahihi?Mama anasema Waziri wa fedha aliondoa Tsh 100 kwenye bei ya mafuta lakini akairudisha kwasababu moja ilikuwa imeshapitishwa kwenye bajeti na pili isingeleta unafuu wowote kwa walaji katika kipindi hiki cha mfumuko.
Swali langu kwanini Waziri aliamua kuondoa hiyo tsh 100 wakati Bunge lilikuwa limeshapitisha? Je alitaka kumchonganisha Rais na Bunge? Alilidharau Bunge? Alipitiwa? Ana mamlaka hayo kwa mujibu wa sheria? Au ndio yale mambo ya watu watatu kukaa na kuamua kukopa au kubadilisha matumizi ya mkopo kwa niaba ya Taifa?
Mie simshangai Mwigulu…nashangaa Wabunge na Wanasiasa hasa wa Upinzani pamoja na vyombo vya habari vilivyopiga kimya uvunjifu huu wa sheria...
Hata yule Kigogo kule twitani hakuliona hili.
Crimea,Alieondoa hiyo tozo hakuwa Mwigulu, alikuwa Makamba
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hao uliowataja wote hawana meno, nashangaa hata wewe hukuthubutu kushusha uzi hapa JF kulaani uvunjwaji wa katiba.Mie simshangai Mwigulu…nashangaa Wabunge na Wanasiasa hasa wa Upinzani pamoja na vyombo vya habari vilivyopiga kimya uvunjifu huu wa sheria
Spika msomi kuliko wote waliowahi kutokea Ndugu Tulia nae alitulia…mchambuzi wa kujitegemea wa Uchumi na Bajeti Ndugu Zitto nae kimya…mwanasheria Nguli Antipas Lissu nae Kimya…Jf nako tukapiga kimya!
Hadi kina Fatma Karume na Maria Sarungi nao kimya
Tuliandika humu kuwa tutalipia gharama ya kumzodoa Ndugai…na ndio hii… watu wanakosea hadi wanagundua wenyewe wanajirekebisha sie tupo kimyaaa tu kwa kuwa tunaogopa mashambulizi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu toka Njombe kwa mikwala
Zogo la Katiba mpya limeanzishwa upya ili kuficha mengi sana maana sote tuko busy kwny hili… nawakumbusha …Escrow ilipigwa wakati tupo busy na Heka heka za Rasimu ya Warioba
Tume ingeundwa kuchunguza hili maana sio kawaida kwa ukimya huu
Hao uliowataja wote hawana meno, nashangaa hata wewe hukuthubutu kushusha uzi hapa JF kulaani uvunjwaji wa katiba.
Kuwa na utaratibu huo sio dhambi mkuu. Kabla hujawalaumu hao wadau angalau ungeonesha ulichokifanya wewe. Nchi ya kqetu sote hii tusitegemee kuvushwa na mtu, kila mmoja anayakiwa kufanya anachoweza kufanya ili kujenga.Mie nimchangiaji tu wa uzi…sijawahi kuanzisha uzi…sina utaratibu huo
Kuwa na utaratibu huo sio dhambi mkuu. Kabla hujawalaumu hao wadau angalau ungeonesha ulichokifanya wewe. Nchi ya kqetu sote hii tusitegemee kuvushwa na mtu, kila mmoja anayakiwa kufanya anachoweza kufanya ili kujenga.
Lady Hangaya katika ubora wake, acha aendelee kuupiga mwingi.Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa.
Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni.
Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama awali
Source: TBC.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itakuwa Zitto na January walijiamulia tu kufuta tozo kwa sababu ya kujiandaa na urais!
Kwenye Urais ondoa Neno Zitto laubda ulitaka kusema rahisi.Yaani labda Zito anajiandaa na Urahisi wa maisha sio Urais.Itakuwa Zitto na January walijiamulia tu kufuta tozo kwa sababu ya kujiandaa na urais!
Katiba ya Tanzania ndiyo inayomfanya asiwe na uwezo ila ni Kiongozi mzuri sana.Watetezi wake watakuja kusema anahujumiwa ........haki ya Mungu huyu mtu akipita kwenye uchaguz 2025 ntajua watz tumelogwa
Hajapata kutokea raisi mweupe kichwan kiasi hiki