Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

[emoji23][emoji23][emoji23] Unazidi kumdharirisha huyu akili za kawaida mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mkataba upi
 
Ilifika kipindi katika nchi hii alisafiri mpk kufikia hatua analipa mishahara ya wafanyakazi kwa pesa za mkopo!

Sema kujenga kazi
Na ndiye Rais pekee aliyetoa fursa kwa raia kukuza uchumi kwa kuruhusu raia kufanya biashara na shughuli za uchumi bila ya kulipa kodi yoyote,hali ambayo ilipelekea raia kukua kiuchumi na kufikia viwango vya kulipa kodi yenye tija kwa taifa.
Bila maono yake hayo mazuri na bora kabisa,TRA ingelikusanya nini?.
 
Kwa muendelezo huohuo Mama, ebu malizia kabisa kuwa hao wenye akili ya kawaida wala sijisumbue kukupigia kura 2025. Mentor wako aliwahi kutamka kama hivyo 2010 kwa wafanyakazi na bado kura alipata. Na wewe usiogope Mama. Wachane tu!
 
Kwahiyo siku hizi maendeleo hayaletwi na watazania wenyewe kama alivyokuwa akihubiri mwalimu ,bali wakubwa huko nje?
 
Kuna mtu aliwai kusema hii nchi inaendeshwa na mzee wa Msoga sasa naamini...mama samia ni kikwete alie changamka
 
Nakumbuka mada yangu sikuimalizia kuongea kwa dharau na kuongea kwa mamlaka. Well nisiongee sana wacha walio muweka wafurahie. Sisi tunamuomba Mungu. Atajibu sisi wa akili za kawaida asante.
 
Hiyo miradi ingetekelezwa kwa Kasi kuliko Sasa ingekua imekamilika
 
MTIHANI HUU NAMKUMBUKA MAREHEMU
 
Waarabu wanachojua ni kuwinda tu kutalii wala hawajui shenzi kabisa na watumwa wao.
 
Kama nchi imekosa hadi muafaka wa kuzalisha mafuta ya kula ya kutosheleza ilihali mashamba yapo, basi ni kipimo tosha cha kuwa omba omba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…