Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

Kumbuka alichokopea maguu ni dar as salama hadi makutupora mama anaendeleza mpaka mwanza na isaka umbali mrefu aliyeondoka kafanya yake na hawezi kurudi mama anafanya yake yote tumshukuru Mungu mama hawezi kuongoza kama mwenda zake yeye ataongoza kama yeye na wataalamu wake pia marehemu afya ilikuwa haimrusu kupanda ndege jamani mkumbuke siyo kuwa hakutaka safari ndiyo maana za majirani aliyenda kwa gari
Nchi gani hiyo ya majirani Magufuli alienda kwa gari?
 
Hii nchi ni kubwa, bila misaada (bakuli) na kuita wawekezaji waje aisee hatutoboi huo ndiyo ukweli, tunatumia zaidi ya tunachozalisha.
Tunaweza hata kujiendesha tukiamua. Shida yetu ni ufisadi na mifumo mibovu. Hata hizo anazokwenda kuhemea huko nje si zinaishia kupigwa tu na wajanja wachache?

Mpaka tutakapokuwa siriazi na ufisadi hakuna kitakachobadilika katika nchi hii.

Wachina mpaka walipoamua kuwa siriazi na ufisadi wao ndo kidogo wameweza kunyanyuka. Kule ukifisadika na ukagundulika ni kuuwawa tu hakuna cha msalie mtume. Wajapan kule utajiua mwenyewe kwa kuleta aibu kwenye ukoo wako na familia. Marekani utafungwa na kila senti uliyoiiba utairudisha.

Sisi jitu linatajwa kabisa laivu kuwa limekwapua bilioni 100 halafu halifanywi cho chote na lipo tu linazidi kudunda mtaani na jamii inalishangilia na kuliita eti lijanja toto la mjini. Ripoti ya CAG huwa inaibua pengine si zaidi ya robo ya ufisadi wote, imagine ufisadi wote ungewekwa hadharani. Ni zaidi ya nusu ya bajeti yetu ya taifa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706]
 
Kwa akili yako kodi za nchi hii zinalipwa na watu gani? Machinga na mama nitilie? Bodaboda? Au wakulima huko vijijini?
Unajua makampuni kama TBL, Vidacom, Metl, Azam wanalipa kodi kiasi gani?

Of the total tax collection reported by TRA, PAYE account for > 65%. Kwa hiyo walipa kodi wakubwa nchi hii ni wafanyakazi
 
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida

''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''

Swali akili za kawaida ndio zipi?

USSR

Urais ni koti gumu, rais wetu tuna, too much ignorant in tanzania tuna wasomi wenye upeo mfupi mno, we with high I. Q we know and reflect far away, ignore all those ignorant,
NCHI INAKWENDA VIZURI KWELI
HONGERA.
 
Daa maza huwa anahudhuria humu JF ama nini,maana haya maneno hutumiwa na member flani pale wanapotaka kumkatisha tamaa mtu aliyewakera!
Huu ni 'mchambo live kwa wapiga kura!
 
Ukiona msimamiizi wa familia kafikia hatua ya kwenda kukopa Kwa kuweka rehani ardhi anayoitegemea Ili kulipa mshahara wa houseboy, beki tatu na kununua chakula nk.

Tafsiri yake ni Kuwa family inaelekea kufilisika!!

Sasa hapo watoto tukae macho😳😳
 
Rais lazima atengeneze deals zitakazoiingizia nchi mapato, iwe ni deal za biashara na uwekezaji, au mikopo ama misaada

Sio jambo la kuficha kuwa nchi yetu ni maskini, wananchi wazawa hatuna mitaji ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa, uwezo wetu wa kulipa kodi pia ni mdogo

Kufanya zuara za mikoani tu utaishia kuambiwa tuna shida ya maji, barabara, hospitali n.k lakini fedha hakuna, utatatua vipi hizo shida?

Magufuli yeye alikuwa akikopa mikopo kutoka benki za kibiashara, ambayo riba ni kubwa na muda wa kulipa ni mfupi, so unataka Samia afabya hivyo?

Wewe unaenlaumu Samia wewe mchango wako ni upi kuhakikisha nchi inajitegemea kwenye mapato hasa ya kufanya miradi mikubwa? Kulalamikia kodi na tozo?
Kwahiyo unaona fahari kutangaza kuwa una njaa huku mashamba yapo na huyalimi au umewapa wengine
 
Kwahiyo unaona fahari kutangaza kuwa una njaa huku mashamba yapo na huyalimi au umewapa wengine
Ngozi nyeupe Huwa wanatudharau sana tunapoenda kutembeza BAKULI.

Husema tuna Kila kitu bt tunaomba.

Me Huwa najiuliza hivi Africa ingekuwa na barafu na baridi kama Urusi hv Kuna mwafrica angetoka kutafuta kwel.
 
Samia ni mchakarikaji kama wanawake wa kinyakyusa! Nilikutana na wamama wa kinyakyusa wakaniambia kuwa, siku Samia akikanyaga Mbeya, watampa jina la Atuganile!
Nimejaribu kutafuta maana ya jina hilo kupitia google nikapata hivi.
Screenshot_20220707-215819.jpg
 
"Wenye uwezo wa Kawaida wa Kufikiri ( Nadhani akina GENTAMYCINE ) wanasema kuwa ninasafiri sana Nje ya nchi. Ukweli ni kwamba nikisafiri Mikoani nakuza tu Siasa za Ndani ila nikienda huko Ulaya naenda Kuwaletea Pesa kama hizi"
...
Sawa Mama Safiri ukatuletee Fedha.

Ukweli kauli hiyo ya Rais SSH ilinipita sikuisikia, asante Mkuu GENTAMYCINE kuitupia hapa.

Kwa maoni yangu hiyo KAULI inawakilisha mtazamo, dhamira na mwenenendo wake kuwa ni TEGEMEZI. Nachelea kusema ndiyo silika ya wenzetu, kutokana na mila, tamaduni na makuzi
 
Uganda Kenya Rwanda nk
Acha utani, alienda hadi.mpakani mfano namanga kwenye ufunguzi wa kituo Cha huduma.
Rwanda alienda hadi.mpakani kwenye ufunguzi wa Daraja la rusumo.
 
Rais lazima atengeneze deals zitakazoiingizia nchi mapato, iwe ni deal za biashara na uwekezaji, au mikopo ama misaada

Sio jambo la kuficha kuwa nchi yetu ni maskini, wananchi wazawa hatuna mitaji ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa, uwezo wetu wa kulipa kodi pia ni mdogo

Kufanya zuara za mikoani tu utaishia kuambiwa tuna shida ya maji, barabara, hospitali n.k lakini fedha hakuna, utatatua vipi hizo shida?

Magufuli yeye alikuwa akikopa mikopo kutoka benki za kibiashara, ambayo riba ni kubwa na muda wa kulipa ni mfupi, so unataka Samia afabya hivyo?

Wewe unaenlaumu Samia wewe mchango wako ni upi kuhakikisha nchi inajitegemea kwenye mapato hasa ya kufanya miradi mikubwa? Kulalamikia kodi na tozo?
Jpm kaifikaje hapo,kwani usipotaja ilo jina unaisi hutokuwa umelewa siyo?achaga hayo mawazo pimbi weee
 
Tangia uhuru hakuna uwekezaji uliobadili maisha ya watanzania? [emoji1787]

Jamani tunawasiliana kwa intaneti na simu za mkononi sasa hivi, huu sio uwekezaji? Makampuni kama Vodacom, Tigo, Airtel si ya wawekezaji haya?
Kuna benk kubwa kama CRDB ambayo ilikuwa imekufa, leo hii ndio benki kubwa Tz baada ya wawekezaji kuichukua,
Tuna makampuni ya saraji, mabati, vyakula, vinywaji n.k vinavyolipa kodi kubwa serikalini na kutoa ajira, hizi sio faida za uwekezaji?
Sasa mkuu unapoteza muda na watu wa akili za kaida kweli!?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
..Watz tuko milioni 50++.

..Botswana wako milioni 2 [ sina uhakika].

..kutokana na idadi yao ndogo lazima Botswana watafaidi zaidi madini yao kulinganisha na Tz.

..Hata ukiangalia mafuta ya Nigeria vs ya nchi za Kiarabu.

..Ni kweli kuna rushwa na ubadhirifu Nigeria, lakini kwa idadi kubwa ya watu wao sio rahisi kuona manufaa ya mafuta ukilinganisha na Saudia, Kuwait, etc.

..Kwa hapa Tanzania hatuwezi kuwakwepa WAKULIMA kama tunataka kujikwamua kiuchumi.
Aisee!Hizi ndiyo akili sasa.Watu kama Memento hapo,hawana mchango wowote wa moja kwa moja kwa taifa katika nyaja ya uchumi.Ukimuuliza yeye hapo alipo analipa kodi kwa serikali kiasi gani kwa mwaka?hatokupa jibu.
 
Huo uwingi Wenu usio na faida mlilazimishwa mzaane hovyo kama Sungura na Panya wakati mkijua hamna Akili?
Sasa kama ujui mtaji wa kwanza kwa taifa ni wingi wa watu?Wewe nawe ni miongoni mwa watu wa akili za kawaida.[emoji23][emoji23][emoji2]
 
Back
Top Bottom