Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba akili kubwa inafanya kazi akili ndogo tulieni"Wenye uwezo wa Kawaida wa Kufikiri ( Nadhani akina GENTAMYCINE ) wanasema kuwa ninasafiri sana Nje ya nchi. Ukweli ni kwamba nikisafiri Mikoani nakuza tu Siasa za Ndani ila nikienda huko Ulaya naenda Kuwaletea Pesa kama hizi"
Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kufanya Ziara za Mikoani kwa Rais wa Tanzania ni kuitia tu Njaa nchi na kuendeleza Umasikini ila kumbe ukienda Ulaya unaenda Kuchota Fedha za Watanzania Masikini walizozihifadhi kwa Wazungu.
Halafu Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kura nyingi tunazowapeni pale mkigombea Urais ni za kuwatumeni tu Kuzurula Ulaya kuomba Pesa na kwamba Shida za Watanzania Masikini wengi tutakuwa tunazimaliza Wenyewe na 'Miungu' yetu tunayoiomba na Maombi ya akina Mitume Mwamposa na Kuhani Richard Mwacha.
Sawa Mama Safiri ukatuletee Fedha.
Hii nchi ni kubwa, bila misaada (bakuli) na kuita wawekezaji waje aisee hatutoboi huo ndiyo ukweli, tunatumia zaidi ya tunachozalisha.Ukweli ni kwamba nikisafiri Mikoani nakuza tu Siasa za Ndani ila nikienda huko Ulaya naenda Kuwaletea Pesa kama hizi"
Ndiyo ujue kuwa hawa siyo wenzetu"Wenye uwezo wa Kawaida wa Kufikiri ( Nadhani akina GENTAMYCINE ) wanasema kuwa ninasafiri sana Nje ya nchi. Ukweli ni kwamba nikisafiri Mikoani nakuza tu Siasa za Ndani ila nikienda huko Ulaya naenda Kuwaletea Pesa kama hizi"
Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kufanya Ziara za Mikoani kwa Rais wa Tanzania ni kuitia tu Njaa nchi na kuendeleza Umasikini ila kumbe ukienda Ulaya unaenda Kuchota Fedha za Watanzania Masikini walizozihifadhi kwa Wazungu.
Halafu Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kura nyingi tunazowapeni pale mkigombea Urais ni za kuwatumeni tu Kuzurula Ulaya kuomba Pesa na kwamba Shida za Watanzania Masikini wengi tutakuwa tunazimaliza Wenyewe na 'Miungu' yetu tunayoiomba na Maombi ya akina Mitume Mwamposa na Kuhani Richard Mwacha.
Sawa Mama Safiri ukatuletee Fedha.
Huyu atatuua na njaaKwenye maisha ogopa sana mtu mwenye upeo mdogo anapokuwa na msimamo usioyumba, lazima mjiandae kwa majanga.
Hahahaha mtani relax kwanza!lzm tumkumbuke chuma JPM kwa hizi mambo zinazoendelea"Wenye uwezo wa Kawaida wa Kufikiri ( Nadhani akina GENTAMYCINE ) wanasema kuwa ninasafiri sana Nje ya nchi. Ukweli ni kwamba nikisafiri Mikoani nakuza tu Siasa za Ndani ila nikienda huko Ulaya naenda Kuwaletea Pesa kama hizi"
Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kufanya Ziara za Mikoani kwa Rais wa Tanzania ni kuitia tu Njaa nchi na kuendeleza Umasikini ila kumbe ukienda Ulaya unaenda Kuchota Fedha za Watanzania Masikini walizozihifadhi kwa Wazungu.
Halafu Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kura nyingi tunazowapeni pale mkigombea Urais ni za kuwatumeni tu Kuzurula Ulaya kuomba Pesa na kwamba Shida za Watanzania Masikini wengi tutakuwa tunazimaliza Wenyewe na 'Miungu' yetu tunayoiomba na Maombi ya akina Mitume Mwamposa na Kuhani Richard Mwacha.
Sawa Mama Safiri ukatuletee Fedha.
Watu wanaitafuna nchi vizuriAnazo enda kukopa sahivi tuanze kugawana wananchi kidogo kidogo
Nakubaliana na ww raisi anapaswa kusafiri, Ila pia Kuna kipimo.Rais lazima atengeneze deals zitakazoiingizia nchi mapato, iwe ni deal za biashara na uwekezaji, au mikopo ama misaada
Sio jambo la kuficha kuwa nchi yetu ni maskini, wananchi wazawa hatuna mitaji ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa, uwezo wetu wa kulipa kodi pia ni mdogo
Kufanya zuara za mikoani tu utaishia kuambiwa tuna shida ya maji, barabara, hospitali n.k lakini fedha hakuna, utatatua vipi hizo shida?
Magufuli yeye alikuwa akikopa mikopo kutoka benki za kibiashara, ambayo riba ni kubwa na muda wa kulipa ni mfupi, so unataka Samia afabya hivyo?
Wewe unaenlaumu Samia wewe mchango wako ni upi kuhakikisha nchi inajitegemea kwenye mapato hasa ya kufanya miradi mikubwa? Kulalamikia kodi na tozo?
Unajua humu kumekua na hulka Kati ya wafuasi wa jiwe na wafuasi wa CCM walamba asali. Mwisho hata ukweli hatuujui ni upi maana kila mtu anavutia kwake.Masalia ya mwendazake hawaridhiki kila mama anachokifanya ,
Mwendazake alikopa kwa Siri mapesa kwa Taasisi zenye riba kubwa....
Nchi yetu haina hiyo mipesa, hivyo lazima tuifuate huko majuu.Na hao marais wenye hayo mapesa huwa wanafanya ziara wapi ili kupata hizo pesa?
Kumbe Samia ni masalia ya MboweMasalia ya mwendazake hawaridhiki kila mama anachokifanya ,
Mwendazake alikopa kwa Siri mapesa kwa Taasisi zenye riba kubwa....
Na ndio tutazidi kuwa maskini. Tusipoenda ni vilevile na tukienda ni vilevile.hii nchi ni kubwa, bila misaada (bakuli) na kuita wawekezaji waje aisee hatutoboi huo ndiyo ukweli, tunatumia zaidi ya tunachozalisha.