The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Who is Magu? Alifuatwa na nani? Taja hapa waliomfuata na kumpa pesa Magu..Hajawa ndege bhana mbona magu alikuwa anakaa nyumbani anafuatwa tu.
Tena wanajikomba sana tu,
Ila kusafiri asafiri tu sio hakuna shida .
Unajua kuna hii kitu inasema ukipata nafasi itumie mh. Samia tumia nafasi yako bibi wawatu wakuchambe wananini na hizo akili zao za kawaida .
Wasikutishie waonyeshe
Mwisho usilinganishe failure kama Magu na Samia,rekodi alizogikia SSH kwa Mwaka mmja hakuna layman yeyote mwenye akili average wamewahi kufikia..👇