mbazitz
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 731
- 1,013
Ni akili za wafuasi sugu wa mwendazake....Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni akili za wafuasi sugu wa mwendazake....Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida...
Inashangaza sana mkuu.Naona sa100 ndio ana akili za kawaida.
Kushindwa kuimalisha mifumo ya ndani ya nchi..na kwenda kutembeza bakuli kuongeza madeni rukuki yeye ndio anaona inafaa?
#MaendeleoHayanaChama
Mbona umejadili kwa akili ya kawaida? Ni wapi Rais alisema nje kuna pesa zimekaa tu? Hivi hamjui dunia imeunganishwa na mifumo ya biashara, uwekezaji wa mitaji ya moja kwa moja, taasisi za mikopo ya fedha kama za Breton woods, mikataba ya kibiashara na uchumi ya nchi na nchi?Ni Kikwete na Samia tu ndo wanamawazo haya kuwa huko nje kuna mapesa wanatusubiri sisi tuende wayalete tufanyie maendeleo! Ukiona kiongozi wako ana mawazo haya jua huyo hamna kitu!
Maendeleo ya kweli yataletwa na watanzania wenyewe.
Na huu ndio ukweli,kukalisha makalio ofisini hakuleti Pesa bali Pesa inatafutwa.Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida
''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''
Swali akili za kawaida ndio zipi?
USSR
Wewe ni Kati ya wale wenye akili ndogo na ma layman..Wacha mama asafiri akalete mpunga, lakini safari za kwenda Uarabuni kukazia uuzwaji wa Loliondo kwa kampuni ya mwarabu ya OBC hatutaki
Kama wewe hapo umeelimika kwa lipi hasa ikiwa huna hata uwezo wa kuelewa umuhimu wa ziara za Rais nje ya Nchi?Akili za kawaida Ni wale ambao hawajasoma na hawana elimu juu ya masuala ya fedha na uchumi hio kwa mtazamo wangu tu but hapa huyu mmama katudharau sana hajui karibu watanzania wote wameelimika sahv na hao ndio wapiga kura wake
Kama mambo gani? Mwaka mmja huu na miezi vipande vyote vya sgr phase 1 vina wakandarasi,phase two inaanza soon..Huhitaji kuwa genious kuona kwamba kuna mambo hayafanyiki sawa sawa.
Raisi yuko sawa kabisa.
Kwa mwaka mmoja limekamilika daraja la Tanzanite tu.Kama mambo gani? Mwaka mmja huu na miezi vipande vyote vya sgr phase 1 vina wakandarasi,phase two inaanza soon..
Wewe kilaza wa mwendazake miaka 5 mlishindwa kukamilisha km 200 za awali,stupid zenu.
Fedha haiombwi bali inatafutwa kwa mikopo na connection za biashara,ndio maana sasa hivi kapata connection ya Kurusha ATCL America,France na China..Huyu mama anasema anakwenda kutuombea fedha nje akinyimwa ni nini kitatokea? Hizo fedha anskwenda kuomba na kupewa bure?
Unless unazungumzia Kwa miradi mikubwa ila hata sgr kipande cha kwanza tayari kiko 98%,daraja la wami, flyover ya Changaombe na hata kipande Cha pili cha sgr Kiko 87% so by next year akifunga miaka 2 mtakuwa mko kwenye sgr..Ufanisi wa Hali ya Juu kabisa.Kwa mwaka mmoja limekamilika daraja la Tanzanite tu.
Tufanye kashindwa,je hili ni bakuli la wapi?👇Naona sa100 ndio ana akili za kawaida.
Kushindwa kuimalisha mifumo ya ndani ya nchi..na kwenda kutembeza bakuli kuongeza madeni rukuki yeye ndio anaona inafaa?
#MaendeleoHayanaChama
Wa kilimani chato alikubutua akakuachia kilema!Kama zako wewe na misukule yote aliyotuachia yule wa kilimani chato.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio gia ya kumuita mtu aje akusugue kovu alilokuachia mwendazake?Cheupe dawa wangu kinuju nilikumiss sana, katika takataka alizoacha mwendazake ni wewe pekee naona utaweza kunifaa shombeshome la kizinza njoo unizalie mtoto hata mmoja wa ziada mrembo kinuju.
sukuma gang woote wana akili za kawaida. Asante mama kuwachana ukweli. Walikuwa wanataka ujifungie kama mtu wao.Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida
''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''
Swali akili za kawaida ndio zipi?
USSR