Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

Kama ya kwako
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida

''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''

Swali akili za kawaida ndio zipi?

USSR
 
Yeye ndio baba ndio mama asipotoka tutakula nini? Ila kama anaenda kuchuma mali mbona anatujazia makato?
Huyu mama anasema anakwenda kutuombea fedha nje akinyimwa ni nini kitatokea? Hizo fedha anskwenda kuomba na kupewa bure?
 
Akili za kawaida Ni wale ambao hawajasoma na hawana elimu juu ya masuala ya fedha na uchumi hio kwa mtazamo wangu tu but hapa huyu mmama katudharau sana hajui karibu watanzania wote wameelimika sahv na hao ndio wapiga kura wake
Watanzania bado wajinga sana hawana elimu yoyote ya maana kuna wasomi wasioelimika wengi tu tena wapuuzi haswa na hawajui hata wanafanya nini.
Ni kweli watanzania wengi wanazo akili za kawaida including hao wasomi

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Akili za kawaida ni wale wote wasiolamba asali 🍯. Hawajui utamu wa sukari na uhuru wa kuilamba kwa urefu wa kamba zao.

Itakuwa wale waliojazana ajira portal na tamisemi wakililia connection hali kuna wastaafu wanaobadilishiwa tu title ili waendelee kulamba asali.

Mh unapiga mwingi sana hadi unamwagika. Hao wenye akili za kawaida waache kama walivyo wataewa siku wakiamka na kuona miundo na huduma bora kila kona ya nchi.
 
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida

''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''

Swali akili za kawaida ndio zipi?

USSR

Kama ya kwako

Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida

''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''

Swali akili za kawaida ndio zipi?

USSR
Chifu kama chifu lakini kama ameanza kujitetea hivi maana yake ujumbe wa hao wenye akili ndogo umefika, naamini ana wasaidizi wengi ambao wanaweza kumsaidia siyo kila mahali yeye tu, wakati wenye akili ndogo wanakamuliwa kila siku na gharama za maisha.
 
Lile bomba la mafuta ghafi kutoka hoima mpaka tanga limeishia wapi? Nauliza tu!
 
Wajuzi wa mambo naomba mnifafanuliwe.

Nchi yoyote Rais wao aliyesafiri sana katika nchi mbalimbali uchumi wa nchi hiyo kama umeimarik. Leo kuna msemo umesemwa na mkubwa kuwa wanahoji safari zake wana akili za kawaida kwani hawajui kama anaenda nje kutafuta pesa kwa ajiri ya maendeleo ya wananchi!

Cha kujiuliza katika safari zake zote alizoenda hali ya wanachi ikoje na je hizo fedha zaidi ya vyoo vilivyochimbwa nchi nzima pamoja na madarasa ambayo kwa wastani mkubwa mengi hayajaisha je pesa nyingine zimefanya nini na je hiyo mikopo inafanya kazi iliyokusidia au inaingia kwenye mifuko ya walamba asali!

Tukumbuke kwamba ingawa raisi anaweza akatafta pesa kwa ajiri ya kuboresha miundo mbinu pamoja na miradi mbalimbali kama pesa hiyo isiposimamiwa vizuri miradi hiyo kuksmilika ni ndoto ya mchana kweupe!

vijana na wazee na wananchi warika zote kama unajuwa unahoji safari za raisi basi ujue una akili ya kawaida!
 
Ni Kikwete na Samia tu ndo wanamawazo haya kuwa huko nje kuna mapesa wanatusubiri sisi tuende wayalete tufanyie maendeleo! Ukiona kiongozi wako ana mawazo haya jua huyo hamna kitu!

Maendeleo ya kweli yataletwa na watanzania wenyewe.
 
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaid...
Hizo safari zimesaidiaje kushusha gharama za maisha?

Sasa hivi kila kitu bei juu. Kila kukicha afadhali ya jana.

Uchumi tunao tunatembeza bakuli na kuombaomba. Ama kweli ni afadhali kuwa maskini wa mali kuliko maskini ya fikra.

Tanzania sio nchi maskini, Tanzania ni tajiri. Nitamkumbuka sana JPM. Mtanzania mwenye IQ ya juu na fikra yakinifu. Ametutoka bado mapema sana. Alale salama
 
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida...
Naona sa100 ndio ana akili za kawaida.

Kushindwa kuimalisha mifumo ya ndani ya nchi..na kwenda kutembeza bakuli kuongeza madeni rukuki yeye ndio anaona inafaa?

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom