Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

Kwamba akili kubwa inafanya kazi akili ndogo tulieni
 
Ndiyo ujue kuwa hawa siyo wenzetu
 
Hahahaha mtani relax kwanza!lzm tumkumbuke chuma JPM kwa hizi mambo zinazoendelea
 
Nakubaliana na ww raisi anapaswa kusafiri, Ila pia Kuna kipimo.
Haipaswi kuwa kama ilivyokua wakati wa magufuli

Sikubaliani na ww kusema Magufuli alikuwa anakopa kwenye mabenki. Deni letu kutoka kwenye mabenki ni 30% tu ya deni lote la taifa ambayo ni sawa na trillion 20. Magufuli alikopa 12% ya deni lote la nje kutoka kweye mabenki ambayo Ni sawa na tril 8. Je Magufuli alikopa tril 8 tu???

Unasema huyo analalamika tozo tu, tutatoa wapi pesa?
Si tuna rasilimali? Kazi ya tuliowapa kuongoza ni ipi ikiwa hawawezi kutumia rasilimali zilizopo kutatua changamoto zetu?
 
Masalia ya mwendazake hawaridhiki kila mama anachokifanya ,
Mwendazake alikopa kwa Siri mapesa kwa Taasisi zenye riba kubwa....
Unajua humu kumekua na hulka Kati ya wafuasi wa jiwe na wafuasi wa CCM walamba asali. Mwisho hata ukweli hatuujui ni upi maana kila mtu anavutia kwake.

Ila mm kwenye hii mikopo naona wengi mnatuacha njia panda. Ni taasisi zipi mwendazake alikopa na zina riba kubwa?
 
hii nchi ni kubwa, bila misaada (bakuli) na kuita wawekezaji waje aisee hatutoboi huo ndiyo ukweli, tunatumia zaidi ya tunachozalisha.
Na ndio tutazidi kuwa maskini. Tusipoenda ni vilevile na tukienda ni vilevile.
Hata mama Samia asiposafiri bado sioni Kama itasaidia chochote. Cha umuhimu akienda aache tu kutoa ahadi za kuwapa rasilimali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…