Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jibu hoja mpuuzi wewe, hizo teuzi zake na hamisha zinatija gani kwa wananchi zaidi gharama, mtu anateuliwa baada ya miezi 2 ana hamishwa, unajua gharama za kumteua DC/DAS/DED n.k? nyie UWT hamna akiliWewe huwa hujitambui .unaandikaga chochote kinachokujia bila hata kuwaza.
Usipende kuropoka ropoka tu utafikiri umetoka usingizini.Anajiandaa kwenda msibani Iran
Tangia lini na wewe ukawa na hoja ya kuhitaji kujibiwa? Tangia lini na wewe umeanza kujitambua? Tangia lini na wewe ukawa na ufahamu wa masuala ya msingi na uelewa? Wewe ulishavurugwa akili yako na kupofuka akili yako.Jibu hoja mpuuzi wewe, hizo teuzi zake na hamisha zinatija gani kwa wananchi zaidi gharama, mtu anateuliwa baada ya miezi 2 ana hamishwa, unajua gharama za kumteua DC/DAS/DED n.k? nyie UWT hamna akili
Unafikiri naye hana kazi za kufanya kama wewe na kukalia umbeya kama wewe? Unaacha kufanya kazi unakalia umbeya wako hapa halafu baaadaye unaanza kusema maisha magumu,.sijuwi unataka uletewe chakula na kulishwa kama kinda la ndege?Zuhura Yunus naye yupo kimya
Taja faida za hizo teuzi, tengua, hamisha n.k, maisha magumu hata nyie UWT mnapambana nayo, sahivi kila kitu kimepanda mara 3 ya bei ya mwaka 2021, nyama choma nao ni elf 15, UWT wangapi wanaweza kununua?Tangia lini na wewe ukawa na hoja ya kuhitaji kujibiwa? Tangia lini na wewe umeanza kujitambua? Tangia lini na wewe ukawa na ufahamu wa masuala ya msingi na uelewa? Wewe ulishavurugwa akili yako na kupofuka akili yako.
Kikao chenu Mwanza mnamaliza lini? safari hii mgeni rasmi ni nani? kilianza jana lakini mpo kimya snUnafikiri naye hana kazi za kufanya kama wewe na kukalia umbeya kama wewe? Unaacha kufanya kazi unakalia umbeya wako hapa halafu baaadaye unaanza kusema maisha magumu,.sijuwi unataka uletewe chakula na kulishwa kama kinda la ndege?
😆Unamdai?
Ni kweli kabisaMuacheni apumzike mama wa watu. Juzi tu katoka Ufaransa. Unataka asipate hata muda wa kumfulia nguo mumewe? Zingatia neno nguo.
Na wewe upunguze sasa kiherehere.Acheni ujinga wenu na utoto wa kijinga.mnataka aonekane muda wote hadharani kwani yeye amekuwa jua? unaposema habari za kuhudhuria kikao cha kamati kuu, kwani ni lazima aongoze vikao vyote yeye. Nini maana ya uwepo wa makamu zake wenyeviti. Acheni ulimbukeni na ushamba wenu. Kama huna cha kuandika si bora ukae kimya tu.
Sio sahihi hivi mkuu...changeHuyu mama anazulula sana.. Miguu na kichwa lazima aumwe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anajiandaa na safari kwenda msibani huko Iran.
uache kabisa ukurupukaji na mihemuko na kushabikia ujinga .Na wewe upunguze sasa kiherehere.
kweye huu uzi umefata nn ama umetumwa!!Ondoa ujinga wako hapa wewe
Pengine amegundua watu wamemchoka na hotuba zake zisizo na maamuziBora abaki kimya hivyo hivyo maana tumechoka na teuzi zake zisizo na tija kwa wananchi