Embu nijibu swala kwamba ni lazima kwa Rais kuongoza vikao vyote vya chama? Kutokuwepo kwa Rais katika kikao kile cha hapa majuzi kulikuwa na uajabu gani na vipi lilikuwa ni tukio jipya kiuongozi na kikanuni? Nini kazi ya makamu wenyeviti? Umesoma na unaielewa katiba ya CCM? Tuacheni habari kufutilia vitu vidogo vidogo vya umbea umbea tu kama watu tuliokosa kazi za kufanya. Akionekana sana kila sehemu ya matukio mnaanza kuongea mara ooo matukio mengine inatakiwa atumage wawakilishi. Yaani mnakuwa kama popo vile hamueleweki kama ninyi ni wanyama au ndege.,