Rais Samia yuko wapi?

Rais Samia yuko wapi?

Embu nijibu swala kwamba ni lazima kwa Rais kuongoza vikao vyote vya chama? Kutokuwepo kwa Rais katika kikao kile cha hapa majuzi kulikuwa na uajabu gani na vipi lilikuwa ni tukio jipya kiuongozi na kikanuni? Nini kazi ya makamu wenyeviti? Umesoma na unaielewa katiba ya CCM? Tuacheni habari kufutilia vitu vidogo vidogo vya umbea umbea tu kama watu tuliokosa kazi za kufanya. Akionekana sana kila sehemu ya matukio mnaanza kuongea mara ooo matukio mengine inatakiwa atumage wawakilishi. Yaani mnakuwa kama popo vile hamueleweki kama ninyi ni wanyama au ndege.,
Unarudia yale yale, hebu soma post yako #12, kwani ungemulewesha mleta mada bila kumtolea lugha chafu ingekupunguzia nini? Unapokosea jambo na ukikosolewa kwani inakupunguzia nini kukiri kukosea? Una lugha za kuudhi sana jirekebishe.
 
Kwa jibu lako hili naanza kuwa na shaka na uwezo wako wa kufikiri. Unataka kubishana for the sake of it lakini huwezi kujibu swali uliloulizwa kwa vile liko juu ya uwezo wako wa utambuzi. Umejibu kihuni sana na imekupunguzia credibility yako sana. Usiwe unakimbilia kujibu mada bila kusoma na kuelewa mada yenyewe. Umekurupuka kumtukana mleta uzi huu kuwa ni mjinga kwa kuuliza Rais yuko wapi,na ametoa sababu zake nzuri tu kwa nini ameuliza. Lakini wewe kwa kiherehere chako umemuelewa ndiyo sivyo sivyo na kumtukana badala ya kumuelewesha,naamini kwa nature ya mleta hoja angekuelewa tu bila ya kumtukana.
Lucas Mwashambwa una tatizo moja,unajihesabia haki 100% hukubali kuwa wewe ni binadamu na unaweza kukosea,muungwana yoyote akikosea hukubali kosa na kuomba radhi ikibidi,lakini hata ukirekebishwa utaleta lugha za dharau na kuona kila mwenye mtazamo tofauti na wewe ni mjinga,kichaa,mlevi na mvuta bangi. JIREKEBISHE.
Msamehe yupo busy kwenye mafunzo Mwanza na wenzake
 
Unarudia yale yale, hebu soma post yako #12, kwani ungemulewesha mleta mada bila kumtolea lugha chafu ingekupunguzia nini? Unapokosea jambo na ukikosolewa kwani inakupunguzia nini kukiri kukosea? Una lugha za kuudhi sana jirekebishe.
Nashauri tumpe muda maana yupo kwenye mafunzo na wenzake Mwanza
 
Back
Top Bottom