Rais Samia yuko wapi?

Kwani umekwenda ofisini kwake ukamkosa? Mtoa mada anasema kuwa Rais hakuonekana katika kikao cha kamati kuu. Je ni lazima awepo vikao vyote? Nini maana ya uwepo wa makamu wenyeviti? Au unataka Rais aonekane muda wote akiwa wapi?
 
Sijamsikia siku mbili hizi.
Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja.
Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
Itusaidie nini?sioni cha pekee anachofanya, zaidi ya mbwembwe zile zile kama waliomtangulia, Kikwete alitidanganya "gesi ikifika Dar, tatizo LA umeme kwisha" Ilikuwa 2007! Mpaka Leo hora! Akatudsnganya kuhusu kilimo kwanza, kwamba ni mkombozi wa wakulima! Wapi, akaja Shetani, akasema Ana Jenga viwanda, sasa hv, tunawaperka vijana Bihawana Dodoma, wajifunze kilimo, ili wainue maisha ya vijana wenzao! Upuuzi, mtupu, ni kama maisha plus vile,
Wanafikiri ukraine kuweza kulisha ngano dunia nzima, walipereka vijana kuwafungia polini, walime?kule wanatumia dhana za kisasa kulima, kupanda, mazao yanachekiwa kwa drones, sio huu upuuzi, wetu, hatuhitaji rundo LA vijana waliokosa LA kufanya mjini, kulundikwa sehemu,wale pesa yetu, wapigane pipe! Eti ndio watakuza kilimo chetu,
Ondoa Kodi kwenye dhana za kilimo, au toa fedha kwa Bakheresa,mpe eneo kama mkoa mzima,alime!tungeweza kuwapa Suma hot, au magereza, Ila kule wamejaa wezi kama ilivyo serikalini
 
Kwani umekwenda ofisini kwake ukamkosa? Mtoa mada anasema kuwa Rais hakuonekana katika kikao cha kamati kuu. Je ni lazima awepo vikao vyote? Nini maana ya uwepo wa makamu wenyeviti? Au unataka Rais aonekane muda wote akiwa wapi?
Jee kuuliza hivyo amevunja sheria gani ya nchi? Ameuliza kwa nia njema kabisa kwa nini wewe unakuwa mkali hadi kumuita mjinga? Wakati mwingine unaharibu mijadala humu kwa kujipa haki ya kumuongelea Rais tu au wewe ndiye Zuhura Yunus? Heshimu mawazo ya wengine. Rais ni wa watanzania wote hivyo wanayo haki ya kujali alipo Rais wao. Punguza kiherehere,please!!!
 
Wewe mpuuzi wa desturi huyu ni rais wa jamhuri na raia wana haki ya kujua yuko wako (public figure) kama unataka kumficha na baibui ndani muoe!
 
Kwani wapi katiba iliposema kuwa kazi ya Rais ni kujionyesha hadharani kila siku kama bango la matangazo? Kama una shida naye nenda ofisini kwake
 
Hizo nafasi utazihudumu wewe mkuu?
Hapana mkuu tunataka zitangazwe waombe watu wenye uwezo wafanyiwe interview badala hii ya kupachikana, tunaweka watu ambao hawana uwezo matokeo yake wanajua ukiteuliwa ni fursa ya kwenda kuiba mali za umma. Mtu anakuwa na kiburi kisa ndg wa fulani hana ubunifu wowote
 
Kwani wapi katiba iliposema kuwa kazi ya Rais ni kujionyesha hadharani kila siku kama bango la matangazo? Kama una shida naye nenda ofisini kwake
Kwa jibu lako hili naanza kuwa na shaka na uwezo wako wa kufikiri. Unataka kubishana for the sake of it lakini huwezi kujibu swali uliloulizwa kwa vile liko juu ya uwezo wako wa utambuzi. Umejibu kihuni sana na imekupunguzia credibility yako sana. Usiwe unakimbilia kujibu mada bila kusoma na kuelewa mada yenyewe. Umekurupuka kumtukana mleta uzi huu kuwa ni mjinga kwa kuuliza Rais yuko wapi,na ametoa sababu zake nzuri tu kwa nini ameuliza. Lakini wewe kwa kiherehere chako umemuelewa ndiyo sivyo sivyo na kumtukana badala ya kumuelewesha,naamini kwa nature ya mleta hoja angekuelewa tu bila ya kumtukana.
Lucas Mwashambwa una tatizo moja,unajihesabia haki 100% hukubali kuwa wewe ni binadamu na unaweza kukosea,muungwana yoyote akikosea hukubali kosa na kuomba radhi ikibidi,lakini hata ukirekebishwa utaleta lugha za dharau na kuona kila mwenye mtazamo tofauti na wewe ni mjinga,kichaa,mlevi na mvuta bangi. JIREKEBISHE.
 
Embu nijibu swala kwamba ni lazima kwa Rais kuongoza vikao vyote vya chama? Kutokuwepo kwa Rais katika kikao kile cha hapa majuzi kulikuwa na uajabu gani na vipi lilikuwa ni tukio jipya kiuongozi na kikanuni? Nini kazi ya makamu wenyeviti? Umesoma na unaielewa katiba ya CCM? Tuacheni habari kufutilia vitu vidogo vidogo vya umbea umbea tu kama watu tuliokosa kazi za kufanya. Akionekana sana kila sehemu ya matukio mnaanza kuongea mara ooo matukio mengine inatakiwa atumage wawakilishi. Yaani mnakuwa kama popo vile hamueleweki kama ninyi ni wanyama au ndege.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…