Rais Samia yuko wapi?

Unarudia yale yale, hebu soma post yako #12, kwani ungemulewesha mleta mada bila kumtolea lugha chafu ingekupunguzia nini? Unapokosea jambo na ukikosolewa kwani inakupunguzia nini kukiri kukosea? Una lugha za kuudhi sana jirekebishe.
 
Msamehe yupo busy kwenye mafunzo Mwanza na wenzake
 
Unarudia yale yale, hebu soma post yako #12, kwani ungemulewesha mleta mada bila kumtolea lugha chafu ingekupunguzia nini? Unapokosea jambo na ukikosolewa kwani inakupunguzia nini kukiri kukosea? Una lugha za kuudhi sana jirekebishe.
Nashauri tumpe muda maana yupo kwenye mafunzo na wenzake Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…