Rais Samia yuko wapi?

We jamaa ukiteuliwa nahamia burundi
 
Sijamsikia siku mbili hizi.
Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja.
Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
Yupo kwenhye mipango ya kuuza raslimali za nchi yetu.
Umesahau alipopotea wiki kadhaa, huku amejifungia Dubai? Alipoibuka, kaibuka na DP World na bandari zetu zikawekwa sokoni.

Baada ya kelele zilizofuatia mkasa huo, wakajiapiza kuwa haitatokea tena. Kila kitu kitafanyika gizani.
Sasa yupo gizani, anatuchanganyia sumu.
 
Sawaa, ila punguza kiherehere...yaani umemzidi hadi mwanae Samia mwenyewe wa kumzaa, Abdul!!.
Inawezekana huyo huyo ndiye 'Abdul' mwenyewe.
Si bure, huyu hadi akili zimemruka kabisa. Kutakuwa kuna uhusiano wa aina fulani kati yake na huyo mama.
 
Usipende kuropoka ropoka tu utafikiri umetoka usingizini.
Lucas, unamwambiaje huyo mwamba hapo juu kuhusu ushauri wake?

Hivi ungeamua njia mbadala wa hii kumtetea huyu mama yako, njia ambayo ni ya maelezo, hata kama ni ya kutunga tu, huoni kwamba ingesaidia zaidi kuliko hii unayotumia, ambayo si kumtetea, bali unazidi kumpaka matope huyu mama yako.

Sasa hadi umeonekana kioja kweli kweli humu JF!
 
Narudia tena wewe si PA (personal assistant) wa kiongozi wa Nchi! Huwezi kung'ang'ania upuuzi wa kumlinda Rais wa jamhuri ya Muungano! Ni mali yetu au kifupi ni kinyago tulichokichonga wenyewe tunza mshono!
Tuna historia mbaya sana kwa JPM nyie chawa mlihemka hivix2 hadi tukapata habari mbaya! Sasa tunasema hivi "Give us a break" kunguni wakubwa
 
Kama una shida ya kiofisi nenda ofisini na siyo kupiga mayowe na makelele yako humu.
 
He'quaram muhim
 
Kwani wapi katiba iliposema kuwa kazi ya Rais ni kujionyesha hadharani kila siku kama bango la matangazo? Kama una shida naye nenda ofisini kwak

Nimeshaenda ofisini kwake sijamkuta., ndo maana tunamuulizia hapa tunajua (naye pia aliwahi kukiri) huwa anapita hapa jf!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…