Rais Samia Ziarani Namibia

Wewe bibi leo umempa nani simu


USSR
 
Ninachoona pia hii ni matokeo ya Afrika kuwa na viongozi wabovu, ndo maana inakuwa ni rahisi kuwa compromised. Mfanoi issue ya Sudan, huyo General Daglo alikuwa ni kiongozi wa Janjaweed kikundi ambacho Al Bashir mwenyewe alikuwa anakiunga mkono
 
Karibu namibibia,windhoek

Najuwa kukaa kwako hapo diku 1,2,3

Mtajifunza vitu kadhaa

Ova
 
Nawaza tu watanzania hapo tulitaka mama atume mtu kwenye sensitive meeting kama hiyo au sijaelewa?

Kama mnakumbuka enzi ya Jiwe, mikutano karibuni yote ya SADC alikuwa anamuachia Samia kuhudhuria hivyo Samia was almost a fixture at these meetings! Ni muhimu sana yeye kuhudhuria kutokana na uzoefu wa yale yanayojadiliwa!!
Huwezi kumfananisha na Vasco Dagama aliyekuwa anamchukua mkewe kwenda kubembea tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…