Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bibi leo umempa nani simuInasikitisha sana siyo Afrika tu ni dunia nzima sema tifayti yetu na wrngine ni kuw sisi tunagombanishwa wenyewe kwa wenyewe na mabwana wakubwa.
Mfano unaiskia kuhusu Sudan, walianza na Sudan Kusini wakawa wanawapa silaha makundi kule kwa kisingizio cha dini.,mpaka uongizi wa nchi ulipostuka ukasema isiwe shida, chukuweni kusini mjitawale.
Wakaanza tena kuwapa silaha vikundi huko Kusini, paditawslike na yeyite atakaetawala anazilioia hizo silaha, wakaona haitoshi na huku
Kaskazini mali zipo, walkalianzisha la Janjaweed, la janjaweed kustukiwa wameanzisha vikundi kibao wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa ahadi za uongo wanazowapa kika kikundi kuwa watwaunga mkono mpaka wadhije madaraka, sababu yake unaijuwa?
Ni mafuta na hii...
View attachment 2613977
Hivi simu nazo huwa mnazimana? Kwetu mwiko kubeba simu ya mwengine.Wewe bibi leo umempa nani simu
USSR
Bibi labda kapiga K vant kubwa na inamzengua [emoji1787][emoji1787]Wewe bibi leo umempa nani simu
USSR
Ninachoona pia hii ni matokeo ya Afrika kuwa na viongozi wabovu, ndo maana inakuwa ni rahisi kuwa compromised. Mfanoi issue ya Sudan, huyo General Daglo alikuwa ni kiongozi wa Janjaweed kikundi ambacho Al Bashir mwenyewe alikuwa anakiunga mkonoInasikitisha sana siyo Afrika tu ni dunia nzima sema tifayti yetu na wrngine ni kuw sisi tunagombanishwa wenyewe kwa wenyewe na mabwana wakubwa.
Mfano unaiskia kuhusu Sudan, walianza na Sudan Kusini wakawa wanawapa silaha makundi kule kwa kisingizio cha dini.,mpaka uongizi wa nchi ulipostuka ukasema isiwe shida, chukuweni kusini mjitawale.
Wakaanza tena kuwapa silaha vikundi huko Kusini, paditawslike na yeyite atakaetawala anazilioia hizo silaha, wakaona haitoshi na huku
Kaskazini mali zipo, walkalianzisha la Janjaweed, la janjaweed kustukiwa wameanzisha vikundi kibao wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa ahadi za uongo wanazowapa kika kikundi kuwa watwaunga mkono mpaka wadhije madaraka, sababu yake unaijuwa?
Ni mafuta na hii...
View attachment 2613977
Umekulia kwenye familia ya wazazi wakatili, huoni shida kuishi hovyo.Alitakiwa kupiga yowe?
Nawaza tu watanzania hapo tulitaka mama atume mtu kwenye sensitive meeting kama hiyo au sijaelewa?