Vasco da Gama of our contemporary society.
Nawaza tu watanzania hapo tulitaka mama atume mtu kwenye sensitive meeting kama hiyo au sijaelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vasco da Gama of our contemporary society.
Hosea Kutako 😳Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) tarehe 07 Mei, 2023.
Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
View attachment 2613613
Ziara zote anazoenda ni sensitive? Watanzania tunahitaji rais mwenye kufanya ziara za nje kwa kiasi. Asiwe kama Magufuli (asiyeenda nje kabisa Wala asiwe kama Kikwete/Samia anayeenda nje sana).Nawaza tu watanzania hapo tulitaka mama atume mtu kwenye sensitive meeting kama hiyo au sijaelewa?
"kinuke" mara ngapi DRC?Itakuwa duru za intelligence zimenusa kwamba DRC kinataka kunuka.
Ukijumlisha na ule ujio wa Kagame, lazima kuna kitu
Kwa kiasi,kiasi gani!?..we unajua rais huenda nje kufanya nini!?..unadhani rais ataamua tu kwenda kuzurura!!?..mna shida sana nyie watuZiara zote anazoenda ni sensitive? Watanzania tunahitaji rais mwenye kufanya ziara za nje kwa kiasi. Asiwe kama Magufuli (asiyeenda nje kabisa Wala asiwe kama Kikwete/Samia anayeenda nje sana).
Kwa taarifa yako rais Paul Kagame huwa anaenda nje chini ya mara kumi kwa mwaka. Huyu mamako anaenda karibia mara 100 kwa mwaka. It is too much!Kwa kiasi,kiasi gani!?..we unajua rais huenda nje kufanya nini!?..unadhani rais ataamua tu kwenda kuzurura!!?..mna shida sana nyie watu
Siku moja moja unakuwa positive kwa mh. Rais ili apige kazi zaidiVasco da Gama of our contemporary society.
Najua kinanuka... ila sidhani kama washaanza kuzichapa na Rwanda"kinuke" mara ngapi DRC?
Upo dunia hii au upo livu nje ya dunia?
Sivyo unavyofikiria.Najua kinanuka... ila sidhani kama washaanza kuzichapa na Rwanda
Inatia huzuni, Afrika sijui lini tutapata akiliSivyo unavyofikiria.
Tatizo ni mali. Kila mmoja anawekeza DRC bila kuihusisha nchi kamili (without declaring war) kwa sababubkinachosakwa huko ni mali, hakuna zaidi.
Usishngae kuwa Rwanda kuna makundi inayaunga mkono na wakribhuohuonwanaiubga mjono serikali, Uganda hali kadhalika na Tanzania halikadhalika.
Licha ya mabwana wakubwa wanaosambaza silaha kwa yeyote azitakae DRC.
Tatizo ni mali, siyo nani anapigana nani.
Ni hayohayo Afrika nzina na kwengine.
Inasikitisha sana siyo Afrika tu ni dunia nzima sema tifayti yetu na wrngine ni kuw sisi tunagombanishwa wenyewe kwa wenyewe na mabwana wakubwa.Inatia huzuni, Afrika sijui lini tutapata akili
Yetu machoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) tarehe 07 Mei, 2023.
Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
View attachment 2613613
Kujua safari nyingine za Rais, Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Mbona ameondoka kimya kimya?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) tarehe 07 Mei, 2023.
Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
View attachment 2613613
Kujua safari nyingine za Rais, Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Kagame ndiyo rejea ya uongozi mzuri!!?..fuvu lako hakina maana yoyote,hivi Rwanda yenye ukubwa sawa na nusu ya mkoa wa tabora na isiyo na rasilimali yoyote Wala ardhi ya kulima kujilisha,ulinganishe na Tanzania yenye vingi vya ku-offer ili kujiendeleza!?..huwa mnafikiri kweli!?.. Tanzania inayopakana na nchi nane,diplomasia yake ilingane na Rwanda!?Kwa taarifa yako rais Paul Kagame huwa anaenda nje chini ya mara kumi kwa mwaka. Huyu mamako anaenda karibia mara 100 kwa mwaka. It is too much!