Rais Samia Ziarani Namibia

Rais Samia Ziarani Namibia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) tarehe 07 Mei, 2023.

Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)

View attachment 2613613
Hosea Kutako 😳
 
Nawaza tu watanzania hapo tulitaka mama atume mtu kwenye sensitive meeting kama hiyo au sijaelewa?
Ziara zote anazoenda ni sensitive? Watanzania tunahitaji rais mwenye kufanya ziara za nje kwa kiasi. Asiwe kama Magufuli (asiyeenda nje kabisa Wala asiwe kama Kikwete/Samia anayeenda nje sana).
 
Ziara zote anazoenda ni sensitive? Watanzania tunahitaji rais mwenye kufanya ziara za nje kwa kiasi. Asiwe kama Magufuli (asiyeenda nje kabisa Wala asiwe kama Kikwete/Samia anayeenda nje sana).
Kwa kiasi,kiasi gani!?..we unajua rais huenda nje kufanya nini!?..unadhani rais ataamua tu kwenda kuzurura!!?..mna shida sana nyie watu
 
Kwa kiasi,kiasi gani!?..we unajua rais huenda nje kufanya nini!?..unadhani rais ataamua tu kwenda kuzurura!!?..mna shida sana nyie watu
Kwa taarifa yako rais Paul Kagame huwa anaenda nje chini ya mara kumi kwa mwaka. Huyu mamako anaenda karibia mara 100 kwa mwaka. It is too much!
 
Najua kinanuka... ila sidhani kama washaanza kuzichapa na Rwanda
Sivyo unavyofikiria.

Tatizo ni mali. Kila mmoja anawekeza DRC bila kuihusisha nchi kamili (without declaring war) kwa sababubkinachosakwa huko ni mali, hakuna zaidi.

Usishngae kuwa Rwanda kuna makundi inayaunga mkono na wakribhuohuonwanaiubga mjono serikali, Uganda hali kadhalika na Tanzania halikadhalika.

Licha ya mabwana wakubwa wanaosambaza silaha kwa yeyote azitakae DRC.

Tatizo ni mali, siyo nani anapigana nani.

Ni hayohayo Afrika nzina na kwengine.
 
Upumbavu mtupu, hawa viongoz wanapiga danadana nyingi wakati wanajua chanzo cha migogoro ni ipi, hiyo mikutano ya kila siku isiyokuwa na matokeo chanya sasa ifike mahaka waachane nayo.

Sababu kuu za kupambana nazo dhidi ya migogoro na vurugu za kijinga ni.

[emoji117]kukomesha uagwizaji na uingizwaji wa siraha kinyume na sheria
[emoji117]kukomesha umiliki wa siraha kinyume na sheria

[emoji117]komesha mahusiano bandia kati ya nchi na baadhi ya nchi.
[emoji117]kukomesha biashara haramu zote za kutumia resources nje ya sheria za nchi.

[emoji117]komesha makundi yanayojiunga kwa sababu za kupambana na serikali hasa vikundi vya uamsho na wale washenzi wenzao wanaofanya mageuzi ya imani mitaani kisa dini.

[emoji117]kupambana na wanasiasa ama viongoz wa nchi wanaohusika na migogoro hiyo moja kwa moja bila kuwaonea aibu, ni bora watengwe ama kuondolewa ktk jumuiya za kinchi pia wawekewe vikwazo vingi vya kiuchumi ili wakose sapoti ya kimaendeleo.

[emoji117]kupambana na suala la malezi.

[emoji117]kucontroll mienendo ya dini na hawa viongozi wa dini bila kusahau baadhi ya mafundisho ya kidini yapigwe marufuku maana yanachoche ubaguzi, uuwaji, ujinga na kujiona mwenye haki.

[emoji117]kupambana na ukabila na kudumisha umoja.

[emoji117]kupambana na uhalifu wowote ule mitaani

[emoji117]kuboresha maisha ya wananchi ktk secta zote ili kupunguza tatizo la ajira na tamaa za vijana kujiunga na makundi ya kishenzi.

Nasikitika kusema kwamba baadhi ya wanasiasa na viongozi wetu ni wafaidika wa hiyo migogoro ndiomaana hawataki kushughulika nayo kwakuwa ni sehemu ya ulaji wao, muda unafika sasa huu ujinga ukome.
 
Sivyo unavyofikiria.

Tatizo ni mali. Kila mmoja anawekeza DRC bila kuihusisha nchi kamili (without declaring war) kwa sababubkinachosakwa huko ni mali, hakuna zaidi.

Usishngae kuwa Rwanda kuna makundi inayaunga mkono na wakribhuohuonwanaiubga mjono serikali, Uganda hali kadhalika na Tanzania halikadhalika.

Licha ya mabwana wakubwa wanaosambaza silaha kwa yeyote azitakae DRC.

Tatizo ni mali, siyo nani anapigana nani.

Ni hayohayo Afrika nzina na kwengine.
Inatia huzuni, Afrika sijui lini tutapata akili
 
Inatia huzuni, Afrika sijui lini tutapata akili
Inasikitisha sana siyo Afrika tu ni dunia nzima sema tifayti yetu na wrngine ni kuw sisi tunagombanishwa wenyewe kwa wenyewe na mabwana wakubwa.

Mfano unaiskia kuhusu Sudan, walianza na Sudan Kusini wakawa wanawapa silaha makundi kule kwa kisingizio cha dini.,mpaka uongizi wa nchi ulipostuka ukasema isiwe shida, chukuweni kusini mjitawale.

Wakaanza tena kuwapa silaha vikundi huko Kusini, paditawslike na yeyite atakaetawala anazilioia hizo silaha, wakaona haitoshi na huku
Kaskazini mali zipo, walkalianzisha la Janjaweed, la janjaweed kustukiwa wameanzisha vikundi kibao wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa ahadi za uongo wanazowapa kika kikundi kuwa watwaunga mkono mpaka wadhije madaraka, sababu yake unaijuwa?

Ni mafuta na hii...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) tarehe 07 Mei, 2023.

Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)

View attachment 2613613

Kujua safari nyingine za Rais, Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Yetu macho
 
Mbona ameondoka kimya kimya?
 
Kwa taarifa yako rais Paul Kagame huwa anaenda nje chini ya mara kumi kwa mwaka. Huyu mamako anaenda karibia mara 100 kwa mwaka. It is too much!
Kagame ndiyo rejea ya uongozi mzuri!!?..fuvu lako hakina maana yoyote,hivi Rwanda yenye ukubwa sawa na nusu ya mkoa wa tabora na isiyo na rasilimali yoyote Wala ardhi ya kulima kujilisha,ulinganishe na Tanzania yenye vingi vya ku-offer ili kujiendeleza!?..huwa mnafikiri kweli!?.. Tanzania inayopakana na nchi nane,diplomasia yake ilingane na Rwanda!?
 
Back
Top Bottom