Na katibu pia!Tuwape walinzi wetu, tuwape gari zetu, tuwape madereva, tuwalipe posho zetu, alafu walete ujinga?.
Mbona kila kinachoendelea tunakifahamu. Watu niliotaja hapo juu hawakuwekwa kwa bahati mbaya
Mama tunataka kwenda mbali na wewe,lisemwalo lipo na Kama halipo laja,mwalimu aliwahi kusema mke wa mfalme hapaswi hata kuhisiwa ugoni na anakuwa amepoteza sifa za kuwa mke wa mfalme, na hi haina tofauti na uhaini,;Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Aiseee..... It was foretold;!!!??Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Ulipigwa mawe Lakini Leo umeonekana shujaa.Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Waswahili wanasema ngoma ikilia sana mwisho hupasuka. Ndicho kinacho mtokea Supukali Ndugai.Mkuu, mie nipo upande wa mh. Mama..
Nilichoshwa sana na vitimbi vya jiwe na genge lake (akiwemo huyo ndugai).
Lakini hilo halinifanyi niache kusema kweli. Kwa mujibu wa Katiba, rais anaweza kuwa 'impeached' na bunge, ndo hiko I meant.
Ila sitounga mkono such a move kwa mazingira ya sasa.
Kwanza ndugai ndo wa kupumzishwa maana kavunja Katiba mara nyingi, the latest ikiwa sakata la akina mzee Halima
Ndoto zako hizo za mchana kweupeeeMama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Naam!Lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Hii "soon" ni mpaka lini?Hii ni hujuma, kama ndivyo soon bunge litavunjwa turejee kwenye uchaguzi.
Kashamaliza mchoro tayariTuwe na subira huenda mama anawachora tu
Kumbe ,, sasa ndugai hivi nini kilimdanganya asee?...!!Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.