Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Sukuma gang ikiongozwa na Ndugai, Gwajima na Bashiru (GS wa ccm)
Bashiru alikuwaga GS wa chama. Cheo kilijifuta automatically alipoteuliwa kuwa KMK na kuhamia ikulu, serikalini.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kumbukq huyu hajapewa uenyekiti wa chama. Huwa ni ngumu akiwa na kofia mbili....ya chama na serikali.

Kwa jinsi Samia alivyo hivi sasa, CCM wakimpoka kadi tu hana issue
Acha fikra mfu hizo, nani wa kumnyang'anya hiyo kadi? Kikao gani cha kuidhinisha hilo? Waangalie makamu wenyeviti wa Chama walivo na utulivu wa akili,
 
Uchonganishi, vijana Acheni fitina. Mlichopanga hakitakua abadan.
Kila karata mtakayocheza itabuma. Mmekua wachawi siku hizi. Na Mungu atawachapa na kuwasambaratisha kila mtu njia yake.
👃👃👃
 
Kama kweli Bunge litapokea hoja hiyo tutarajie mambo mabaya kutokea.

Kwanza CCM itasambaratika, Muungano utavunjika na umoja wa kitaifa utapotea.

Yeyote mwenye ndoto za aina hiyo kwa sababu ya kutimiza matakwa ya tamaa zake za kisiasa, akamatwe ashughulikiwe
 
Kwanini turudie uchaguzi kisa ndugai plus unnecessary cost?
Ndugai hana akili kujaribu kuwashawishi eti Wabunge wampigie vote of no confidence SASHA; hajui kuwa SASHA ana powers za kudisolve bunge kabla ya kupiga hiyo kura yao!!
 
Wakumbusheni baadhi ya wabunge walioshindishwa kimazabe kuwa sisi wajumbe hatuwapendi
Nalog off
 
Ndugai hana akili kujaribu kuwashawishi eti Wabunge wampigie vote of no confidence SASHA; hajui kuwa SASHA ana powers za kudisolve bunge kabla ya kupiga hiyo kura yao!!
Hivi hawawezi kumvizia akienda nje ya nchi wakamuhujumu? Mama tunakupenda kwahiyo wasome vizuri step zao
Nalog off
 
Sure
Ewe Mola wetu Mtukufu,uliyeumba mbingu na nchi tuna nyanyuwa mikono yetu juu kukuelekea wewe kukuomba bunge hili livunjwe turudi kwenye uchaguzi ili tupate viongozi tunaoridhika nao.
 
Kwan usukani haujakatwa tu?? Mnajua kwann bashir amefanywa ivyo??

Maza was and she is still in danger
Ngoja tuone Mkuu kuna mvutano mkubwa sana wa kukamata usukani.
 
Reactions: BAK
Oneni uyu, kwa ccm ina mwenyekiti?? Hacha uzoba
Kama anafikiria hivyo ataondoka Ndugai ataondoka asubuhi tu. Mwenyekiti was chama ataamuru wabunge wa CCM wakae kama caucus na kupitisha hoja ya bunge kutokuwa na imani na spika. Mwisho wa game. Usicheze na Rais. Kwa katiba hii ana nguvu kweli kweli!
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Wapi ushahidi mwanangu?
 
Lengo la uzi huu ni kumtahadharisha Ndugai asijaribu kamwe ataozea jela vunja bunge mpe kesi uhaini milele atajuta muulize Bashiru atasimulia historia yake ukweli kywa unafiki haujengi ni muda tu
 
Mada za siku hizi zinachosha.

Mtu kama Ndugai atatoa wapi uwezo wa kuandaa chochote dhidi ya mtu mwenye mabunduki?

Hata kama sio mabunduki, Ndugai uwezo wa kujenga hoja na uongozi atavipata wapi mpaka ashawishi watu, hata kama kuna baadhi ya vilaza kama yeye waamue kumwondoa rais?

Labda useme, huko huko Bungeni patokee maasi ya kumkataa yeye Ndugai.

Mimi ningewasihi wabunge wajiondolee hii aibu ya kuongozwa na mtu ambaye kichwani hana kitu kabisa.
 
Kasome katiba vizuri..mama Ana mamlaka ya kulivunja bunge..wakianza wote chaliii
 
Baadhi ya wabunge wameingizwa bungeni kwa system iliyopita otherwise wasingetoboa kwa wananchi. Kwa hiyo wanatetea ubaguzi na uonevu uendelee sbb unawanufaisha. Mama ni Mcha Mungu hapendi dhuruma. Mama piga kazi tupo nyuma yako. Na wanaotaka kukufelisha watafeli wao.

Ni mpango wa Mungu ni wewe uongoze taifa kwa Sasa. Muda wa mateso ulioamliwa umepita. Sasa ni muda wa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…