cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Na hao watu ndo kina kibajaji mwendazake hayupo Wana raise issue zake ili iweje. Mama akiwa mwenyekiti awanyooshe yeye ndo mkuu, vijibwa vingine viftyatishwe mkia kilazimaMama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono