Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Na hao watu ndo kina kibajaji mwendazake hayupo Wana raise issue zake ili iweje. Mama akiwa mwenyekiti awanyooshe yeye ndo mkuu, vijibwa vingine viftyatishwe mkia kilazima
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Isome vizuri katiba ya nchi kama ilivyo sasa. Hilo haliwezekani.
 
Kundi lile ambalo lilikuwa halitaki mama aingie Ikulu lina watu wabaya sana kwa Taifa letu na linahaha kutwa kucha ili kumdhibiti Mama. Na kama unavyoona kuna juhudi kubwa sana Bungeni ya kuponda ripoti ya CAG ili tu waliinue jiwe lao kwamba limefanya mambo makubwa sana.
Mama akitetereka basi wahuni hao ndiyo watakuwa wameshika usukani which is not a good idea for the future of our beloved country
Mama awanyooshe hao washenzi maana Sasa ni awamu yake wanaongelea miradi ya jiwe ili iweje, the way kibajaji alivokuwa anaongea alikuwa ana send message indirect
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono

Acha woga wewee
 
Kwa katiba hii bunge la Ndugai litavunjiliwa kabla halijaanza huo mchakato haramu.
 
Yaani anahangaika Bure. Wajue tofauti ya Rais aliyeongoza bila kura kutimia!!!!!! Mamlaka zinajua!!! Asilinganishwe na mama mkombozi uliyeletwa kurudisha Tanzania kwenye msingi yake ya Amani. Rais aliyerejesha FURAHA ya watanzania ndani ya muda mfupi sana. Kabla hawajapiga kura wote watakuwa chali.
 
Mkuu hata mimi napata hizi hisia,, wabunge wameanza kumdirect mama nini cha kufanya, wanataka afate nyayo za jiwe utadhani mama yeye hana fikra, utadhani mama hana akili yeyote, na wanawashangiliana.

Nilimsikia mbunge eti anamwonya mama. Kibajaji nae kachomoa ya kuchomoa yake anamtaka mama afate nyayo za jiwe.
Napata wasiwasi.

Mama anatakiwa kutengua na kuteua haraka sana. Asilale kwani wenzake wako fasta.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Kwa kifungu kipi cha Katiba ya Nchi yetu Rais anaweza kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani?
 
Back
Top Bottom