Mashushu wengi bado ni wale waliokuwa watiifu kwa mwendazake na BashiruHawawezi lazma mshushu wampenyezee taarifa😅😅😅 lazima pale kun vijana wanaoreport kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashushu wengi bado ni wale waliokuwa watiifu kwa mwendazake na BashiruHawawezi lazma mshushu wampenyezee taarifa😅😅😅 lazima pale kun vijana wanaoreport kwake.
Wacha maCCM yaparulane lakini naamini hilo jambo siyo rahisi kutokeaUnaelewa vizuri ulichokiandika au umejiandikia tu.Inaonekana sasa hivi mtu yoyote anaweza kushiba makukuru uko kwake akaja mwenye mtandao kubeua chochote anachokisikia.
Samia hajakabidhiwa uenyekiti wa chama bado. Kwahiyo kwasasa ni rahisi mno kumtupa nje mama SamiaTetesi isiiyo na tija hii. Kwa Tanzania bado sana.
Ndugai kama ana ubavu aanze kwanza mchakato wa kuvibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyompa madaraka Rais (na Mwenyekiti wa CCM) kulithibiti Bunge/Wabunge wa CCM
Kwa jinsi Samia alivyo hivi sasa, CCM wakimpoka kadi tu hana issue
Mkuu kuwa na amani kabisa hilo kundi halina tena menoKundi lile ambalo lilikuwa halitaki mama aingie Ikulu lina watu wabaya sana kwa Taifa letu na linahaha kutwa kucha ili kumdhibiti Mama. Na kama unavyoona kuna juhudi kubwa sana Bungeni ya kuponda ripoti ya CAG ili tu waliinue jiwe lao kwamba limefanya mambo makubwa sana.
Mama akitetereka basi wahuni hao ndiyo watakuwa wameshika usukani which is not a good idea for the future of our beloved country
Umeeleweka sana mkuu lkn bado kuna lile kundi linalo amini kuwa linatoka kanda muhimu ki siasaWatu wakomakini tangu wa magu akate roho alianza kuhakikishiwa usalama wake hivyo hilo ondoa shaka labda watumie njia nyingine kama kawaida yao.
Naomb niishie hapo
hivi ndugai ni nani katika nchi hii mbona anaonekana kama mpuuzi fulani tu?
Mkuu kuwa na amani kabisa hilo kundi halina tena meno
Kwani anaumwaga nini huyo jamaa?Nduguy achunguzwe kwa karibu huenda ikawa ameacha matumizi ya dozi!
Haya mataga wamezamilia lkn watashindwa maana hawana meno tenaAaa wapi! Hawana ubavu huo wale! Wakidhubutu, mama naye atalivunja bunge, alafu taga yupi pale unafikiri yupo tayari uchaguzi urudiwe?! Wenzako wana mikope wale, oh!
Kwa hiyo kama unataka kumtishia Mazaa nyau, utasubiri kwanza!
Tunafahamu ugumu wa mchakato wa kulifanikisha hili lkn mama hana nguvu maana siyo mwenyekiti wa chama. Kwahiyo anaweza kupokwa kadi ya ccm.Watu wanavyo ongea utadhani hiyo kura inapigwa na hapo hapo rais anaachia urais hahaaaaa
Wakasome katiba vizuri waone kama ni rahisi hivyo kutekeleza hilo
Mchakato wa hilo jambo unampa nafasi kubwa sana rais kufanya maamuzi yake kabla hata ya kupiga hiyo kura kwa hiyo hilo haliwezekani kabisaaaaaaa muwe na amani
Wewe ndiyo hujaelewa, mbona kila kitu kiko wazi hapa.Unaelewa vizuri ulichokiandika au umejiandikia tu.Inaonekana sasa hivi mtu yoyote anaweza kushiba makukuru uko kwake akaja mwenye mtandao kubeua chochote anachokisikia.
Rahisi mno? Kwa CCM hii? In your dreams..Samia hajakabidhiwa uenyekiti wa chama bado. Kwahiyo kwasasa ni rahisi mno kumtupa nje mama Samia
Kama anafikiria hivyo ataondoka Ndugai ataondoka asubuhi tu. Mwenyekiti was chama ataamuru wabunge wa CCM wakae kama caucus na kupitisha hoja ya bunge kutokuwa na imani na spika. Mwisho wa game. Usicheze na Rais. Kwa katiba hii ana nguvu kweli kweli!Hawana ubavu huo atawawahi kabla ya kumuwahi.