Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hii inatoa ishara kubwa miradi mingi ya afya hapa Tanzania huenda ikadorora, hususani HIV, Malaria, uzazi salama, TB na tafiti za afya.View attachment 3208429
Rais wa Marekani Donald Trump leo amesaini executive order ya kuindoa US kwenye uanachama wa Shirika La Afya Duniani (WHO).
Trump aliwahi kutoa shutuma nyingi dhidi ya WHO wakati wa kipindi cha Covid na alihashiriankujitoa.
US inakuchangia karibia asilimia 18 ya bajeti ya WHO.
Soma zaidi hapa: Donald Trump signs order to withdraw US from World Health Organization