Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

wenye akili za ki-ccm hesabu ndogo ya trump itawashinda......china ndo mudawake kuchukua hiyo nafasi alipe Dola Milion 400 marekani alipe Dola Milion 40
 
Screenshot_20250121-074317.png
 
JPM ???????

Angalau kwa hili alikuwa sawa?

Kuanza kujaribu kutubadilisha fikra zetu kwamba hakuna mjomba wala shangazi wa kutusaidia kuleta maendeleo bali inabidi tukomae sisi wenyewe na makinikia zetu?
Wakamuua wachawi,ooh akafa kichawi.
 
wenye akili za ki-ccm hesabu ndogo ya trump itawashinda......china ndo mudawake kuchukua hiyo nafasi alipe Dola Milion 400 marekani alipe Dola Milion 40
😂😂😂😂 Ndo utakapo jua wapumbav niwengi sana wanashabikia vitu bila kuchanganua.
 
Tukiwaambia watu kwamba Ukiwa Rais unakuwa na Nguvu kuliko kawaida machadomo Huwa yanabisha.

Hakuna Cha Katiba Mpya Wala biashara za Demokrasia sijui kushirikisha and such blaa blaa.

Amri za Rais zinaendelea 👇 👇

View: https://x.com/ReutersBiz/status/1881560142044409988?t=EBf8HYnMEDX3buxQuG2Z4g&s=19

Hata Leo hii Samia akisema marufuku mikutano ya siasa Kuna Marburg hakuna wa kupiga makelele ya kijinga jinga.

Umeandika nini Rudia kusoma labda una kitu sema uwasilishaji wako ni WA kijinga zaidi! Muktadha hauendani kabisa! Punguza mapenzi ya chama na uangalie athari zitokanazo na hatua hiyo ukizingatia serikali ya chama Chako, ni Kwa hisani ya hisani ya hisani ya! Hakuna misingi ya kujitegemea kama nchi. Andika jambo ambalo hao kama serikali litawasaidia namna ya kufikiri upya sio muda wa mapenzi ya vyama ndugu
 
Umeongea ukweli kabisa, kwa ufupi tunaweza sema ni wabinafsi

Marekani itatummia Kila njia kuhakikisha pesa zilizokuwa zinatolewa kama misaada zinawezesha watu wao ndani kwanza
Ndio maana kauli mbiu make America great again
 
Safiii Sana tujitegemee nw Sisi Kila kitu misada Tuu,, Barabarani Nzuri Ni zile za misada.. hospital misada,, Budget misada,, no tujitegemee
Godwin Molel Waziri wa Afya kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za Mitaa alisema hatutumii Kodi zetu Bali Kuna watu wenye akili wanaozunguka huko duniani kutafuta hela! Sasa hatari ni kubwa sababu ya kuwa watu wenye ubongo ya aina ya watu Hawa!
 
Trump nampenda hata maamuzi yake ya ki trading, our is all about trading we buy low and sell high and we sell high to it back low. Trading for women are experts ,they know to capitalize on everything.
Sasa akaona hakuna faida USA inapata unataka afanye nini kwa mfano. Trump nakuomba utawale hata miaka 20 badilisha katiba Mana ni kakijitabu tu hakana Mana , watu wanakula rushwa na hakafuatwi
 
Back
Top Bottom