PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Moja ya ubunifu ambao Tanzania iliufanya wakati wa Mkapa ni hii Basket Fund. Tanzania ndiyo walibuni Basket Fund, ikawa introduced kwa donor, wakaikubali, then ikawa accelerated nchi nyingine.Hizi Basket fund zinazo letwa huku kada ya Afya kwa udhamini wa hao hao USA tunaweza kuguswa?? Maana ni pesa nono mnooo,
Katika utaratibu wa Basket Fund lile ni kapu lenye donors wengi na ni kwamba kila donor anaingiza funds zake kule, kulingana na mipango na malengo, hivyo Basket Fund huwa inakuwa na donors tofauti na lengo ni kupeleka hela kwa local government ikiwa ni sehemu ya decentralization.
Hivyo huku athari itatokea kama kati ya hela au activities ambazo WHO ilikuwa ikizifanya Tanzania kupitia Basket Fund miongoni mwao zipo zinazotegemea hela ya US