Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Hizi Basket fund zinazo letwa huku kada ya Afya kwa udhamini wa hao hao USA tunaweza kuguswa?? Maana ni pesa nono mnooo,
Moja ya ubunifu ambao Tanzania iliufanya wakati wa Mkapa ni hii Basket Fund. Tanzania ndiyo walibuni Basket Fund, ikawa introduced kwa donor, wakaikubali, then ikawa accelerated nchi nyingine.
Katika utaratibu wa Basket Fund lile ni kapu lenye donors wengi na ni kwamba kila donor anaingiza funds zake kule, kulingana na mipango na malengo, hivyo Basket Fund huwa inakuwa na donors tofauti na lengo ni kupeleka hela kwa local government ikiwa ni sehemu ya decentralization.
Hivyo huku athari itatokea kama kati ya hela au activities ambazo WHO ilikuwa ikizifanya Tanzania kupitia Basket Fund miongoni mwao zipo zinazotegemea hela ya US
 
Tulidorora aisee,ni vigumu huku kada ya Afya kutegemea Makusanyo ya papo pekee na bima ili kuweza kutekeleza activities zote muhimu.
hatukudorora kwasababu china iliweka fedha mara 2 ya hizo za marekani
 
Moja ya ubunifu ambao Tanzania iliufanya wakati wa Mkapa ni hii Basket Fund. Tanzania nfiyo walibuni Basket Fund, ikawa introduced kwa donor, wakaikubali, then ikawa accelerated nchi nyingine.
Katika utaratibu wa Basket Fund ni kwamba kila donor anaingiza funds zake kule, kulingana na mipango na malengo, hivyo Basket Fund huwa inakuwa na donors tofauti na lengo ni kupeleka hela kwa local government ikiwa ni sehemu ya decentralization.
Ni kweli mkuu. Lakini kumbuka donor mkubwa ni huyo huyo USA. na iliwahi kuyumba kipindi cha Uongozi wa Trump. Nakumbuka tulitangaziwa kabisa na Katibu wa Afya kwamba hizo pesa hazitaletwa tena hivyo vituo vya Afya,zahanati na hosp ya wilaya zijipange namna ya kujiendesha bila kutegemea Basket Fund
 
Hapana sasa tuzitumie dawa zetu
Dawa nyingi zinatoka kwenye miti majani vitunguu nk sisi wavivu na mengine sisemi
Dawa zetu zipi hizo tuzitumie kama hatujazifanyia utafiti.
Fahamu tu, dunia ni kijiji kwa sasa, dawa yoyote iliyopo duniani inaweza kupelekwa popote ikatumika ikiwa imetafitiwa na kuthibitishwa ubora wake.

Sasa hii mizizi yetu ya kienyeji ambayo haijatafitiwa inaweza kutibu vipi Ukimwi, TB ?
 
ARV inatolewa na pepfar ishirikiana na CDC
Hao wote ni wamarekani, na serikali ya USA ndio inafadhili hiyo miradi chini ya usimamizi wa WHO.

Kinachofanyika ni hivi, USA huwa inatoa fedha kuifadhili miradi ambayo ilipaswa kufadhiliwa na WHO, na hapo inahesabika USA imesaidia WHO.

Hivyo kwa lugha nyepesi, karibu miradi yote ya afya inayofadhiliwa na USA katika nchi maskini indirectly ni miradi ya WHO.
 
Ni kweli mkuu. Lakini kumbuka donor mkubwa ni huyo huyo USA. na iliwahi kuyumba kipindi cha Uongozi wa Trump. Nakumbuka tulitangaziwa kabisa na Katibu wa Afya kwamba hizo pesa hazitaletwa tena hivyo vituo vya Afya,zahanati na hosp ya wilaya zijipange namna ya kujiendesha bila kutegemea Basket Fund
Tanzania ni nchi ya Kihayawani sana. Wafadhali wanatoa sehemu ya hela zao kutusaidia, lakini sisi hatufanani na wanaosaidiwa.
Wanajisifu kuboresha miondo mbinu lakini miundo mbinu hiyo haileti unafuu wowote ule kimaisha wala kiuchumi.
Unajenga SGR kwenda Dodoma lakini bado safari za Dar Dodoma viongozi wanatumia misafara na magari binafsi.

Tunaua reli zetu halafu mizigo inasafirishwa kwa barabara na kupeleka gharama za maisha kupanda pia barabara kuharibika na kukarabatiwa mara kwa mara.

TUnaboresha barabara lakini tunaongeza bajeti ya kununua na kuhudumia magari ya viongozi.

Tungekuwa na nidhamu katika matumizi yetu, basi chochote kidogo ambacho nchi inaweza kukoata kingetosha sana kuiendesha nchi.
 
Hela za covid wahun wamezipiga sana.. Mda siyo mrefu atajitoa NATO huko nako ndiyo anaewabeba member wote kwenye michango
 
Tanzania ni nchi ya Kihayawani sana. Wafadhali wanatoa sehemu ya hela zao kutusaidia, lakini sisi hatufanani na wanaosaidiwa.
Wanajisifu kuboresha miondo mbinu lakini miundo mbinu hiyo haileti unafuu wowote ule kimaisha wala kiuchumi.
Unajenga SGR kwenda Dodoma lakini bado safari za Dar Dodoma viongozi wanatumia misafara na magari binafsi.

Tunaua reli zetu halafu mizigo inasafirishwa kwa barabara na kupeleka gharama za maisha kupanda pia barabara kuharibika na kukarabatiwa mara kwa mara.

TUnaboresha barabara lakini tunaongeza bajeti ya kununua na kuhudumia magari ya viongozi.

Tungekuwa na nidhamu katika matumizi yetu, basi chochote kidogo ambacho nchi inaweza kukoata kingetosha sana kuiendesha nchi.
Kabisa mkuu.umenena sahihi kabisa,ngoja tupne huu upepo wa Trump utatuathiri kiasi gani hasa huku Afya. Maana Afua nyingi za afya zinategemea pesa kutoka US AID ambayo pia Trump anasema ana i review ndani ya siku 90
 
JPM ???????

Angalau kwa hili alikuwa sawa?

Kuanza kujaribu kutubadilisha fikra zetu kwamba hakuna mjomba wala shangazi wa kutusaidia kuleta maendeleo bali inabidi tukomae sisi wenyewe na makinikia zetu?
Kwenye kujitegemea hakuna magu alichofanya alikuwa anakopa kwa siri deni la taifa lilipaa sana aliondoa ajira muhimu hasa za walimu sjui alikuwa anawaza nn yule jamaa aisee alikuwa muongo muongo sn we unazuia mapanki wkt minofu inaenda we si ni kichaa ww
 
Kabisa mkuu.umenena sahihi kabisa,ngoja tupne huu upepo wa Trump utatuathiri kiasi gani hasa huku Afya. Maana Afua nyingi za afya zinategemea pesa kutoka US AID ambayo pia Trump anasema ana i review ndani ya siku 90
Huko Afya kumeoza, nadhani katika Tanzania afya imechukua nafasi ya vyama vya ushirika vya enzi za Mwalimu. Katika nchi hii nsdhani Afya inaongoza kwa idadi ya mamilionea
 
Back
Top Bottom