Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hii inatoa ishara kubwa miradi mingi ya afya hapa Tanzania huenda ikadorora, hususani HIV, Malaria, uzazi salama, TB na tafiti za afya.View attachment 3208429
Rais wa Marekani Donald Trump leo amesaini executive order ya kuindoa US kwenye uanachama wa Shirika La Afya Duniani (WHO).
Trump aliwahi kutoa shutuma nyingi dhidi ya WHO wakati wa kipindi cha Covid na alihashiriankujitoa.
US inakuchangia karibia asilimia 18 ya bajeti ya WHO.
Soma zaidi hapa: Donald Trump signs order to withdraw US from World Health Organization
Pole sana mkuu itabidi wachomoe hela kule wakanunue halafu Trump hai-intertain marais wanawake anawapelekea mguu wa mtoto hivi kizimkazi kampongeza Trump kua rais?Yaani hata mimi jambo la kwanza nimewaza ARV
Hapana sasa tuzitumie dawa zetuHii inatoa ishara kubwa miradi mingi ya afya hapa Tanzania huenda ikadorora, hususani HIV, Malaria, uzazi salama, TB na tafiti za afya.
Sababu ni kwamba WHO inaficha kusema ukweli kwamba uviko 19 ilisababishwa na harakati za Maabara za China hivyo wanalinda Wachina wasilipe fidia wakati hawana wanachochangia hapo WHO.View attachment 3208429
Rais wa Marekani Donald Trump leo amesaini executive order ya kuindoa US kwenye uanachama wa Shirika La Afya Duniani (WHO).
Trump aliwahi kutoa shutuma nyingi dhidi ya WHO wakati wa kipindi cha Covid na alihashiriankujitoa.
US inakuchangia karibia asilimia 18 ya bajeti ya WHO.
Soma zaidi hapa: Donald Trump signs order to withdraw US from World Health Organization
Kwanza USA Huwa hawamkubali wanamkosoaga kwamba anaependelea China lakini amekuja kimajukumu zaidi hana wajibu wa kuhudhuria huko uapisho wake.Hivi kwa nini Director wa WHO ameamua kuja Tanzania na kutoa msaada wakati wa kuapishwa kwa Trump ambaye alishaashiria kujitoa?
Halafu huku BIMA ikitufinya vilivyo.Hii inatoa ishara kubwa miradi mingi ya afya hapa Tanzania huenda ikadorora, hususani HIV, Malaria, uzazi salama, TB na tafiti za afya.
China anaingiaje wakati usa wanamkaanga dk.wao covid au......Kwanza USA Huwa hawamkubali wanamkosoaga kwamba anaependelea China lakini amekuja kimajukumu zaidi hana wajibu wa kuhudhuria huko uapisho wake.
Tukiwaambia watu kwamba Ukiwa Rais unakuwa na Nguvu kuliko kawaida machadomo Huwa yanabisha.View attachment 3208429
Rais wa Marekani Donald Trump leo amesaini executive order ya kuindoa US kwenye uanachama wa Shirika La Afya Duniani (WHO).
Trump aliwahi kutoa shutuma nyingi dhidi ya WHO wakati wa kipindi cha Covid na alihashiriankujitoa.
US inakuchangia karibia asilimia 18 ya bajeti ya WHO.
Soma zaidi hapa: Donald Trump signs order to withdraw US from World Health Organization
Andika uelewe vizuri,hata hivyo chanzo ni sakata la uviko 19China anaingiaje wakati usa wanamkaanga dk.wao covid au......
Sijaona Kizimkazi akampongeza Trump kua rais wa marekani na kaanza huku Trump kuziba mirija?Very True. Inahusiana kwa kiasa fulani.
Muulize KizimkaziWizara ya Afya yetu bajeti ni donor funded kwa asilimia ngapi?
Tuanze kuumiza vichwa.
Na Trump alivyo against women ruling, ngoja tuone!!Nakionea huruma chama chawala
Kizimkazi na hapa ipo..Muulize Kizimkazi
Na operesheni za matumbo mtafanya kwa mapanga na mindu bila ganzi kwa waganga wa kienyeji?Hapana sasa tuzitumie dawa zetu
Dawa nyingi zinatoka kwenye miti majani vitunguu nk sisi wavivu na mengine sisemi
HIvi hizi BASKET FUNDS zinazo pelekwa kada ya Afya,zinatoka mfuko upi?? Ni hao hao WHO ama USAIDAthari ipo ukizingatia ya kuwa Marekani anamwaga mpunga mrefu kwenye hiyo WHO.
Ndio Knockout ya Mama kule Sumbawanga kuna Shule ya matofali ya Udongo imebomoka wanajenga Magorofa ZenzibarKizimkazi na hapa ipo..