Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Huko Afya kumeoza, nadhani katika Tanzania afya imechukua nafasi ya vyama vya ushirika vya enzi za Mwalimu. Katika nchi hii nsdhani Afya inaongoza kwa idadi ya mamilionea
Kuna utitiri wa mashirika kibao,ambayo hutegemea pesa za US AID,lengo kubwa ni upigaji tu..na kulipana posho
 
Hiyo willingness ya kutoa 400$ na siyo 40$ kama China ndiyo imeipa USA access ya natural resources sehemu mbalimbali duniani na kuonekana ndiye kiranja wa dunia, diplomatic strength. Access ya kuweka military bases all over the world n.k. uhusiano wake na nchi wanachama umekua wa mutual benefit na siyo kwamba USA alikua akitoa hicho kiasi anapata hasara moja kwa moja.

Ingawa kwa kuitaja hivyo inaonekana nyingi lakini misaada anayotoa USA duniani kwenye bajeti yake hua haizidi hata 2% ya mapato yake (last time nasoma juu ya hiyo ishu unless ibadilike)
Huo ndo ukweli mkuu,... Hongera kwa kuwaza nje box
 
Wanavyosema wataalam ARV hazichochei UKIMWI zinapunguza.

HIV inasambazwa zaidi na watu walioambukizwa miezi kadhaa iliyopita kuliko wanaojua kuwa wana HIV na kutumia hayo madawa.

Mfano, watu woote wenye UKIMWI na HIV wakijulikana wakatumia dawa maambukizi yanaweza kukoma.

NB: Binafasi hili gonjwa naona limekaa kimkakati sana tangu liingie, pengine hata lilikuwepo ila halikuwa na madhara mpaka lilipofanywa biashara.
Kuwaamini wazungu ni kuamini kwamba upepo unashibisha.Ni ugonjwa mkakati Arv zinaamsha nguvu ya kisasi na malipizi baada ya unyanyapaa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Pesa za kuchezea za kununua wasanii na kuwapa simba na Yanga na kununua Yutong 50 za ccm mnazo, ila pesa za kuwekeza kwenye sekta ya afya hamna, mnategemea misaada ya Marekani. Trump shikilia hapo hapo usitoe hata mia.
 
Rais Donald Trump alitaja sababu kadhaa za Marekani kujiondoa kwenye Shirika la Afya Duniani (WHO). Moja ya sababu hizo ni tofauti katika michango ya Kifedha, akibainisha kuwa China pamoja na Idadi kubwa ya watu(population over a billion) inalipa karibia US$40 millioni wakati Marekani yenye idadi ndogo inalipa zaidi ya US$400 millioni.
Kazi kweli kweli...
 
Kujitoa kwao kutasababisha upungufu wa fedha za kununua chanjo muhimu kama vile ile ya polio na kifua kikuu.
Ni sawa na unataka kuoa alafu unataka mke alishwe na jirani.
Uumwe wewe, watu wakuchangie wengine kwa lazima
 
Kwenye kujitegemea hakuna magu alichofanya alikuwa anakopa kwa siri deni la taifa lilipaa sana aliondoa ajira muhimu hasa za walimu sjui alikuwa anawaza nn yule jamaa aisee alikuwa muongo muongo sn we unazuia mapanki wkt minofu inaenda we si ni kichaa ww
Weka takwimu hapa. Kwa miaka sita aliyokaa madarakani JPM alikopa trilioni ngapi; na kuliacha deni la taifa likiwa trilioni ngapi? Na mama kwa hii miaka michache tu aliyokaa madarakani amekopa trilioni ngapi; na kulipaisha deni la taifa mpaka trilioni ngapi? Ukizipata hizo takwimu utarudi ufute comment yako kama wewe ni mkweli na mwenye dhamira safi isiyotawaliwa na chuki binafsi.

Iko hivi: Kwa nchi zetu hizi huwezi kuziendesha bila kukopa maana uchumi wetu ni legelege sana. Suala ni kwamba unakopa ili ufanyie nini? Kama hukuona hizo trilioni chache alizokopa JPM zilitumika kufanyia nini basi tena....

➡️➡️➡️ Pamoja na kukopa kwake jambo kubwa ambalo alilifanya JPM ni zile jitihada zake za kujaribu kubadili fikra za watu polepole na kuona kuwa wana raslimali za kutosha kujiletea maendeleo kama wakizitumia vizuri. Wengi mnataka mabadiliko ya fikra - Kuwa na umma wenye falsafa ya ukombozi na kujitambua. Oooh miafrika mijinga haijitambui ndiyo maana bara tajiri sana lakini myenyewe ni masikini ya kutupwa. Mnafikiri kwamba kubadilisha fikra za watu, mitazamo na falsafa zao ni jambo rahisi kama kupiga kope kumbe ni kazi ngumu na yenye kuhitaji hata vizazi kadhaa. Na kweli Watanzania walikuwa wameanza kuona mwanga - wa kifikra na kimtazamo tu.

Angalau kwa hilo tu anastahili kupewa maua yake na wachache waliojaribu kumwelewa!

Pole kwa kukosa ajira za ualimu wakati wa JPM. Mama anaajiri walimu 14K mwaka huu. Nakuombea uwe mmoja utakayebahatika kupata kati ya waombaji 250K walioomba.

➡️➡️➡️ Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
 
JPM amekopa pesa nyingi sana, deni la taifa limeongezeka exponentially wakati wa jpm. Hili halifahamiki sababu ukopaji wakati wa jpm ulikuwa wa kihuni anakopa bila kulihusisha bunge. Rais wa hovyo kuwai kutokea ulimwenguni
 
Official data please. Sasa hayupo na kama kweli aliongeza deni la taifa exponentially, bila shaka data zitaonyesha hivyo.

➡️ 1. Alilikuta deni la taifa likiwa trilioni ngapi?

➡️ 2. Kwa miaka 6 aliyokaa madarakani aliongeza trilioni ngapi katika deni la taifa i.e. aliacha deni la taifa likiwa trilioni ngapi?

➡️ 3. Kwa sasa deni la taifa ni trilioni ngapi? i.e. limeongezeka kwa trilioni ngapi

Mengine yote uko sahihi maana kila mtu is entitled to his opinions. Na jamaa alijijengea maadui wengi sana - wenye vyeti feki, wahujumu uchumi, mafisadi na majizi ya mali za taifa, maajenti wa mabeberu, wakwepa kodi, wababaishaji...and the list goes on and on....
 
Back
Top Bottom