Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Ila Trump akili zake fyatu,Sasa janga limeikumba dunia nzima na yy alishauriwa hakuskia anakuja itupia lawama WHO!!!nn hatma ya sisi huku Africa Kama Marekani kajiondoa!?
Unamuita ana akili fyatu alafu wewe mwenye akili unamtegemea mwenye akili fyatu are you suffering delusions?
 
Duh huyu mzee yani aliambiwa na kila mwenye akili ndani ya Marekani kuwa huu ugonjwa ni mbaya na unaua sana. Hope wamarekani watampandikizia virus vya Corona aondoke navyo ili akawe shahidi namba moja huko ahera. Bado naamini wamarekani na kwa hili hawatoniangusha. Give that man virus!
 
Unahisi kuwa RAIS Wa US Ndio Kua Na Akili ?!
Unafikiri wanachagua watu wapumbavu pumbavu kama huko kwenu chama kikishampitisha zuzu ndio ameshakuwa Rais?

Yani wewe na mashia wenzako mnaota mchana saa sita jua kali.
Raia wa America ambao ni Liberal Dems pekee ndio hawamuelewi Trump.
.
Unapozungumza kuhusu ubabe wa America kwanza unachekesha Americans hata hawalijui hilo wanachojua wao ni wana uchumi mkubwa tu and they're fighting to keep it higher and higher.
.
Nchi ambayo wewe unaiona inaweza kuipiku America ni China kitu ambacho ni nadharia sana kwa sababu kadhaa.
1. China ni Taifa la kikomunisti akikupa mkopo hataki umrudishie fedha anataka resources zako.
2. China hawa invest katika Elimu kwa mataifa mengine kama anavyofanya America.
Ishu sio US Kutoa Msaada Mkubwa Ama Nn Kama kutoa Msaada Mkubwa Wala Haja Anza Leo Jamaa Anaona Pesa Imekua Ngumu kwao Anatafta Pakujifichia [emoji12][emoji14]

Sent using My COVID-19
How did you knew pesa America imekuwa ngumu?
Your crazy like California governor
 
Keep dreaming he got more 4 years to save America
 
Bila US amna WHO..

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Yes kuwa Rais wa US ndiyo kuwa na akili, usifikiri watu smart kama akina Mark Zuckerberg, Bill gates, Elon Musk, Larry Page, nk wanaweza kuchagua kilaza kuwaongoza. Wewe kama unaona kukaa hapo Kariua na kuvuta tumbaku ndo una akili kuliko POTUS hizo tumbaku zako zinakudanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa sio la who. Alizingua mwenyewe. Alidhrau ugonjwa wkt mataifa mengine yanaendelea kujikinga yeye akawa anapiga siasa.
Anatafuta mtu wa kumdondoshea lawama

Sent using Jamii Forums mobile app
you are a complete moron.
What did you precious Democrats say when Trump did the travel ban for China?
What did your Democrat officials say about this virus in the beginning?
Trump was on this from day 1, fighting against you idiots.
 
He is clearly trying to blame someone else for his shortcoming. It's the only thing he's actually good at.

Democratic Hoax didn't work.
Chinese virus didn't work
Blaming Obama didn't work
Etc
And now he's blaming WHO for his failure.
Hard to believe that is still your talking point after already being debunked within the context it was said several times now. 🐑

He did say "it was their new hoax! You troll
 
you are a complete moron.
What did you precious Democrats say when Trump did the travel ban for China?
What did your Democrat officials say about this virus in the beginning?
Trump was on this from day 1, fighting against you idiots.
Hell naw. You and all other trump supporter must think twice.
Yeah he did block travel to china then what? Did it help?
Did it work?
Nope it didnt.. why ? Because when other countries where busy trying to control the situation he was busy with political war against china.
WHO is innocent here.. if he is looking somewhere to dump his blames. He should first look at himself.. no excuse this time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No wonder Gen Mattis alisema:

'I earned my spurs on the battlefield; Donald Trump earned his spurs from the doctor'.
 
Your ignorance is amazing!

Here's a fact, Trump wanted to issue a travel ban in late January, but the Dems called him racist for doing so. Who's really looking out for America safety, the president or the Dems trying to shift all the blame on Trump?
.
Travel ban really helped America from getting new infections from CCP
 
Nimecheka kwa sauti.... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Give that man virus.... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Sent using Redmi Note 7 Pro
 
Wamarekani wamepatikana kweli kweli, but na sisi Watanzania tusiwacheke tunaye Trump wetu!
 
typical "double standard" Trump...

yeye kuwasifu Wachina ni sawa lakini WHO si sawa..... pathetic president!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…