Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

Magaidi wanamlaumu sana Trump kwenye hili jukwaa lakini ni wenyewe haohao waliodai kwamba Trump alimuonya Netanyahu amalize vita haraka kabla hajaingia madarakani wakifikiri Trump angeweza kufanya kosa la kuwaunga mkono Palestinians.

Hamas kama hawataki kuachilia mateka basi wauliwe tu maanake hamna namna.
 
Jumapili Mziki unaanza tena mpaka Hamas waishe.
Uyo puto wenu anakitu anaweza Fanya kauli tu moja ya YEMEN hiii inamana Iran kashotoa ruksa MOTO na uwake apo sasa ndio Utajua uyo mlokole wenu ni PUTO tu anaogopa kushindano tu.. toka kala kona kule Iran Watu Washamsoma akikaza nww kaza YEMEN kashatoa sindano!!!!!!
 
TELAVIV Wataanza upya kulala kwenye mashimo na Mipanya!! Uyu Tramp aliwai kuwatisha IRAN kumbe Iran ni zaidi ya muuni alichofanywa adi Leo Tramp analalamika Iran wapo kwenye Mpango wa kumuuwa analia Tramp!!!!! Nilitegemea ataanza na Iran !!!!
 
TELAVIV Wataanza upya kulala kwenye mashimo na Mipanya!! Uyu Tramp aliwai kuwatisha IRAN kumbe Iran ni zaidi ya muuni alichofanywa adi Leo Tramp analalamika Iran wapo kwenye Mpango wa kumuuwa analia Tramp!!!!! Nilitegemea ataanza na Iran !!!!
Una picha ya trump akilia ?
 
Imependekezwa wapelekwe huku

View: https://x.com/Seeingidoc/status/1889152964889039181
 
Hata Magaidi wa Kihouthi nao dawa yao inatokota.
 
Mbona apigi IRAN tumuone kweli yeye ndio kiongozi wa Ile USA ya zama zileee!!
Ayatollah alileta ujuaji maandazi Biden akasogeza jirani yale madude, B-52, akalialia na kuufyata chap.

Saivi Ayatollah kawa mpole kama vile siyo yeye mfadhili na mlezi wa magaidi, anajua Mwamba huyu hacheki na kima.

Kabla hajaingia ofisini Trump alitoa tamko likamwingia Ayatollah na genge lake vizuri mnoo, hafurukuti tena...


View: https://youtube.com/shorts/5Fs4h0yNux8?si=X2___Z4ZVLn08mmh
 
Hamas hawana cha kupoteza hao jamaa sloga Yao inasema "ukitupiga unatuonea na ukituacha unatuogopa kufa kwetu ni sherehe" watu kaa Hawa ku deal nao unahitaji kuwa na roho ya Hitler au Idd Amini.
 
Masikini ya Mungu hata kuandika tu kiswahili hujui, eti unatoa ushauri wa kivita. Mudi aliwatapeli sana kudeal na elimu ya ahera kuwa mtapewa mabikra 72 so elimu dunia haina maana. Angalia ulichoandika sasa
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sanaa
Jamaa sijui ameishia darasa la ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…