Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

Vijana wa DRC watakiwa kujitayarisha kwa mapigano ya kumtoa dictator mchonganishi na snitch
Vijana wote wa Congo wana ndoto za kuwa wanamuziki kama vile fally pupa, kofii nk. Hayo mambo ya kujiunga na jeshi hayapo katika akili zao. Labda Tshisekedi apeleke ndugu zake na watoto wake jeshini.
 
Maswala ya vita yaache tu yaani unaweza dharau Ila ukatembezewa kichapo Cha karne na underdog wa dunia kwenye vita na usiamini.

Hakuna vita nyepesi. Kama wamejiandaa kulea yatima na wajane wa kutosha basi wapigane.

Ni rahisi sana kuingia vitani sekunde tu ila vita haviishi ndani ya sekunde itachukua muda mrefu mambo kurudi kawaida
 
Vijana wote wa Congo wana ndoto za kuwa wanamuziki kama vile fally pupa, kofii nk. Hayo mambo ya kujiunga na jeshi hayapo katika akili zao. Labda Tshisekedi apeleke ndugu zake na watoto wake jeshini.
Namsubiri zuchu hapa Texas aje kutuburudisha sijui kama huko bongo mnalifahamu hili na tarehe 25 tunaye mwingine tena anaitwa kama sikukosea mbuso am very sorry if I despell
 
Kwa namna yoyote ile Rwanda hawezi ipiga Congo, ila Congo ni raisi sana kuipiga Rwanda. Njia pekee Rwanda anaweza shinda vita na Congo ni kwa kumu eliminate Tshekedi, otherwise Rwanda mwenyewe hayupo tayari Kigali ifumuliwe aanze ijenga na upya.
 
Wee Mnyarwanda. Haidhuru. Lakini fanya utafiti kabla ya kujiandikia tu, pia jaribu kusoma kwa uhakika trends za dunia. Miaka, mawiki na hata siku hazifanani.
Safari hii kama Rwanda haita climb down, huenda mambo yakawawia vibaya. Afrika ndiyo hivyo: Ngoma ikisifiwa sana hupasuka!
 
Mkuu endelea kumuingiza maboya Tshisekedi, mwisho wa siku yatakayomkuta ni yeye sio wewe mzungumzaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…