Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi hawafahamu ukweli huu. Mkongomani yuko radhi asajiliwe kwenye band ya fally pupa au kofii bure kuliko kuajiriwa na jeshi lao kwa malipo.Nusu ya Jeshi la Congo DRC ni Wanajeshi hewa, na mishahara wale hewa ndio wanaingiziwa haraka kuliko Wanajeshi kamili inachelewa sana.
Ammo wakipewa wanawauzia Mai mai FLDR na Vikundi vingine vya Waasi huko Ituri, sasa tuulizane kuna Jeshi hapo?
Hata ukiwajengea Jeshi Serious wanarudia kule kule Majenerali wako Kinshasha wanakata viuno kwa Fally Ipupa.
Congo wako vizuri sana kwa upande wa tukunyema na kibinda nkoi. Ila mapambano ya ana kwa ana na jeshi la Rwanda hawawezi.Ni sahihi,Wakati wa Mobutu alijua ana wanajeshi elfu 60, lakini mshauri wake wa usalama anadai idadi kubwa ilikuwa hewa,alitaka kuhesabu askari wote ila majenerali ambao ndio walipiga hiyo mishahara wakawambia wanajeshi wanataka kufukuzwa,then majenerali wakamuonya Rais kuna uhasi unakaribia hivo zoezi lile likafa
Akili nyepesi hii.Vijana wote wa Congo wana ndoto za kuwa wanamuziki kama vile fally pupa, kofii nk. Hayo mambo ya kujiunga na jeshi hayapo katika akili zao. Labda Tshisekedi apeleke ndugu zake na watoto wake jeshini.
Kagame kaongoza Ragtag rebels na kukomesha Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea kwenye Ardhi ya Afrika.Kagame mnamtukuza mno.
Swala la Tanzania kuingilia vita ya Congo na Rwanda ni lingine.Halafu Hivi lakini kwa akili yako, Rwanda aipige DRC Tanzania unafikiri itaangalia tu?! Hahahah, unachekesha ndugu..; Rwanda iache kufadhili M23 , hiyo ndio bottom line.., hakuna excuse.
Hakuna hio Vita kwasababu nimesikia hata Majeshi ya Uganda pia yanaenda.Swala la Tanzania kuingilia vita ya Congo na Rwanda ni lingine
Vijana wanataka kufananisha jeshi lenye uweledi wa vita na lile la wacheza kibinda nkoi 😂😂😂Kagame kaongoza Ragtag rebels na kukomesha Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea kwenye Ardhi ya Afrika.
Kagame kaligeuza jeshi la Msituni na kulifanya kuwa Jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu kabisa Barani Afrika
Sifa zake tumpe Myonge mnyongeni.
Wamuulize mrusi yaliyomkuta hapo ukrain mpaka dk hii haamini kilicho mtokeaNguvu ya jeshi ya kusimuliwa ni kama kilimo Cha tikiti kwenye PDF havijawahi kua na uhalisia kwenye utekelezaji
Umeandika utumbo mahabaWakuu inakuaje? sasa twende kazi.
Siku mbili tatu hizi kumekuwa na hali ya sintofahamu kati ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na ile ya Rwanda, kila mmoja akimtupia lawama mwenzake na kutishia kuvunjilia mbali uhusiano wao wa kidiplomasia nk.
Kwa upande wa Congo ndio wanaonekana kuwa wamechukia zaidi hadi kupelekea serikali yao kumfukuza nchini kwao balozi wa Rwanda, na pia kumwata balozi wao aliekuwa nchini Rwanda.
Kwa upande wa Rwanda yenyew haioneshi kupanic wala kuchukizwa kivile, inaonekana ime relax ikisubiria kuona kingine kitachojiri kutoka katika serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Sasa basi... Rwanda ina uwezo wa kuichakaza na kuisambaratisha Congo kijeshi kwa njia zote, iwe kwa angani, majini au ardhini tena kwa muda mfupi sana.
Congo inaweza kuishinda Rwanda kwa maneno tu, maana wakongomani ni waimba miziki na wachezaji wakubwa, ila linapokuja swala la mapambano ya kijeshi na weupe sana wanashindwa hata na Burundi.
Kwanza toka Congo ilipopata uhuru jeshi lake halikuwahi kushinda vita yoyote ile. Wakati wa Mobutu jeshi la Congo lilichakazwa vibaya na waasi waliokuwa wanaongozwa na hayati Desire Kabila (father) na baadae jeshi hilo limeendelea kuchakazwa na makundi mbali mbali ya waasi wengi wao ni kutoka nchi jirani.
Sasa jiulize ikiwa nchi yenye raia zaidi ya milioni 1 inachakazwa na waasi wasiozidi elfu 5, huku waasi hao wakiwa na silaha za kuunga unga na mazoezi ya msituni yasiokuwa rasmi. Je watakapoingia kwenye vita na nchi yenyewe si ndo yatakuja kutokea yale ya Mobutu na Idi Amini!!
Hivi kweli Tshisekedi anaamini kuwa nchi yake inaweza kuipiga Rwanda au ndo kifo kinamwita, au wazee wa kazi (Kabila's team) wanamshauri ujinga ili akipigwa akikimbia Kabila arudi kuongoza Congo?
Maana katika hali ya kawaida haiwezekani nchi inayoshindwa vita na waasi elfu 3, ijidanganye kuwa inaweza kupambana na nchi yenye wanajeshi zaidi ya laki, wenye ueledi mkubwa wa kivita, silaha za kisasa na wanajeshi wa kutosha.
Katika EAC nzima, nchi ambazo Rwanda inaweza kuhofia kwa namna fulani kupambana nazo ni Tanzania na Kenya tu ambazo majeshi yao yameshafanya mambo makubwa ndani na nje ya mipaka yao Tanzania ikiwa inaongoza kwa kufanikiwa oparation mbali mbali katika nchi za Msumbiji, Zimbabwe, Angola, Namibia, Comoros nk. Ila hizo zingine Rwanda inaziona kama vile ni nchi zinazolindwa na makundi ya sungu sungu tu na sio wanajeshi kamili.
So chonde chonde Tshisekedi watu bado wanakuhitaji uendelee kuwa raisi wao. Usije kuingia kwenye mtego ambao utashindwa kujinasua. Kagame alimhofia Kikwete tu mjeshi mwenzake na anajua watu wa kicheka cheka kama JK maamuzi yao yanakuwaga na athari kubwa kwa wengine. Lakini nyinyi wengine anawaona vikaragosi wake.
Tena kwa Congo ndo kabisa hawezi kutuma jeshi lake kupoteza muda wao. Sana sana ataajiri vijana kutoka katika makampuni mbali mbali ya ulinzi waje kumaliza kazi.
Pichani juu ni jeshi la Rwanda na picha ya chini ni jeshi la Congo.
Siku njema kwa wasomaji na wachangiaji wote. Asanteni.
Hebu angalao hata ulisome tu jeshi la drc, labda litegemee miujiza ya uchawi ili masasi yawe mayi.Wamuulize mrusi yaliyomkuta hapo ukrain mpaka dk hii haamini kilicho mtokea
Watu hapa Jukwaani wanaongea kimihemuko zaidi.Vijana wanataka kufananisha jeshi lenye uweledi wa vita na lile la wacheza kibinda nkoi 😂😂😂
Kwa nini mnaanzisha threads kwa stori za vijiweni?Wakuu inakuaje? sasa twende kazi.
Siku mbili tatu hizi kumekuwa na hali ya sintofahamu kati ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na ile ya Rwanda, kila mmoja akimtupia lawama mwenzake na kutishia kuvunjilia mbali uhusiano wao wa kidiplomasia nk.
Kwa upande wa Congo ndio wanaonekana kuwa wamechukia zaidi hadi kupelekea serikali yao kumfukuza nchini kwao balozi wa Rwanda, na pia kumwata balozi wao aliekuwa nchini Rwanda.
Kwa upande wa Rwanda yenyew haioneshi kupanic wala kuchukizwa kivile, inaonekana ime relax ikisubiria kuona kingine kitachojiri kutoka katika serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Sasa basi... Rwanda ina uwezo wa kuichakaza na kuisambaratisha Congo kijeshi kwa njia zote, iwe kwa angani, majini au ardhini tena kwa muda mfupi sana.
Congo inaweza kuishinda Rwanda kwa maneno tu, maana wakongomani ni waimba miziki na wachezaji wakubwa, ila linapokuja swala la mapambano ya kijeshi na weupe sana wanashindwa hata na Burundi.
Kwanza toka Congo ilipopata uhuru jeshi lake halikuwahi kushinda vita yoyote ile. Wakati wa Mobutu jeshi la Congo lilichakazwa vibaya na waasi waliokuwa wanaongozwa na hayati Desire Kabila (father) na baadae jeshi hilo limeendelea kuchakazwa na makundi mbali mbali ya waasi wengi wao ni kutoka nchi jirani.
Sasa jiulize ikiwa nchi yenye raia zaidi ya milioni 1 inachakazwa na waasi wasiozidi elfu 5, huku waasi hao wakiwa na silaha za kuunga unga na mazoezi ya msituni yasiokuwa rasmi. Je watakapoingia kwenye vita na nchi yenyewe si ndo yatakuja kutokea yale ya Mobutu na Idi Amini!!
Hivi kweli Tshisekedi anaamini kuwa nchi yake inaweza kuipiga Rwanda au ndo kifo kinamwita, au wazee wa kazi (Kabila's team) wanamshauri ujinga ili akipigwa akikimbia Kabila arudi kuongoza Congo?
Maana katika hali ya kawaida haiwezekani nchi inayoshindwa vita na waasi elfu 3, ijidanganye kuwa inaweza kupambana na nchi yenye wanajeshi zaidi ya laki, wenye ueledi mkubwa wa kivita, silaha za kisasa na wanajeshi wa kutosha.
Katika EAC nzima, nchi ambazo Rwanda inaweza kuhofia kwa namna fulani kupambana nazo ni Tanzania na Kenya tu ambazo majeshi yao yameshafanya mambo makubwa ndani na nje ya mipaka yao Tanzania ikiwa inaongoza kwa kufanikiwa oparation mbali mbali katika nchi za Msumbiji, Zimbabwe, Angola, Namibia, Comoros nk. Ila hizo zingine Rwanda inaziona kama vile ni nchi zinazolindwa na makundi ya sungu sungu tu na sio wanajeshi kamili.
So chonde chonde Tshisekedi watu bado wanakuhitaji uendelee kuwa raisi wao. Usije kuingia kwenye mtego ambao utashindwa kujinasua. Kagame alimhofia Kikwete tu mjeshi mwenzake na anajua watu wa kicheka cheka kama JK maamuzi yao yanakuwaga na athari kubwa kwa wengine. Lakini nyinyi wengine anawaona vikaragosi wake.
Tena kwa Congo ndo kabisa hawezi kutuma jeshi lake kupoteza muda wao. Sana sana ataajiri vijana kutoka katika makampuni mbali mbali ya ulinzi waje kumaliza kazi.
Pichani juu ni jeshi la Rwanda na picha ya chini ni jeshi la Congo.
Siku njema kwa wasomaji na wachangiaji wote. Asanteni.
Ndombolooooo ndombolo ya solo![emoji849][emoji1787][emoji1787] Na niwachawi kweli ila nadhani wana experience kubwa ya mapigano maana kule kumekua na machafuko mara kwa maraHebu angalao hata ulisome tu jeshi la drc, labda litegemee miujiza ya uchawi ili masasi yawe mayi.
Genocide alianzisha nani!?..waluawa wangapi wa kabila gani!?Kagame kaongoza Ragtag rebels na kukomesha Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea kwenye Ardhi ya Afrika.