Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Doto aende kisutu atatoka kwa plea bargaining.
Arudishe tozo zetu,afilisiwe ndio afungwe
Arudishe tozo zetu,afilisiwe ndio afungwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini umewaachaKwa maoni yangu wanao takiwa kuwajibika hadi sasa ni wafuatao....
1. Makame Mbarawa
2. January Makamba
3. Nape Nnauye
4. Mwigulu Nchemba
5. Mwana sheria mkuu wa serikali
Hiyo ripoti imetoka lini? Usichanganye mamboRipoti ya 2023 wewe unataja Doto James?
Nijuavyo mimi hoja za CAG zinatakiwa zijibiwe na Serikali iliyopo madarakani. ila Inaonekana hii ripoti ya sasa ni CAG + Awamu ya 6 dhidi ya Serikali ya awamu ya 5! Mmemsikia Zitto kaibuka, specifically kumbomoa marehemu, hutamsikia akigusa queries za awamu hii. Cha kushangaza ripoti ni ya 2021-2022 ambapo jiwe alishatuacha so kimsingi sijui nani anatakiwa atetee.Waliohusishwa na ufisadi mostly 95% ni wateule wa aliyekuwepo nyakati zile, she must..........!
(Upo uwezekano kuna fungu kubwa linakusanywa ili kuja kuhonga wajumbe)
Ingawaje tumesha mpitisha, huu wizi unaushirikiano mkubwa sana, na si kamtu kamoja kanaiba tu.
Amekushika pabaya! Tatizo huwa mnasahau. Eti picha za kutengeneza.Hizi picha za kutengeneza mitandaoni nani atazikubali? Picha za ku-edit
Kwa maana hiyo PM na VP hawachomoi?Sio Dotto James peke yake bali wote wale ambao CAG ameibua madudu yao washughulikiwe bila huruma !! Wezi wa kuku mtaani wanachomwa moto !! Mungu anawaona. !!
Yes, sawa kabisa. Hawa ndiyo wajibu hoja za CAG siyo mnatafuta marehemuKwa maoni yangu wanao takiwa kuwajibika hadi sasa ni wafuatao....
1. Makame Mbarawa
2. January Makamba
3. Nape Nnauye
4. Mwigulu Nchemba
5. Mwana sheria mkuu wa serikali
si ajabu mkampeleka kisutu akawamwagia vimemo kuthibitisha kuwa alikuwa anatekeleza amri za wakubwa wake wa juu wale watatu na aliyekuwa waziri wake wa fedha na watatu bado wapoHuyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Wafuasi na wanaomuabudu marehemu mhutu aliyejibadilisha kuwa msukuma, mwizi, muuaji aliyefanikiwa kuwafanya mazezeta wafuasi wake wakimuita shujaaNdio nani hao sukumagang..🤔
Sijui kama nao wamo !Kwa maana hiyo PM na VP hawachomoi?
Kwani huyo dotto sasa yupo wapi? Twambie alipo we kila tukipaza sauti juu y waloiba pesa za umma unatupangia wa kuwataja mkuu? Una maslahi gani na hili kundi?Ripoti ya 2023 wewe unataja Doto James?
Duh 🙄 !Dotto James immediate chief wake alikuwa Philip Mpango.Philip Mpango leo ni Makam wa Rais.HAITATOKEA kama ambavyo HAIKUTOKEA kwa Paul Makonda.
Tunywe maji tutulie ila kuna kishindii kitawastua.
Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Mnapotaka Mwigulu,Mbarawa, Nape na January wawajibike kwani wao ni accounting officers? He was an authorizing officer1 Lowassa alipowajibika na RICHMOND alikuwa accounting officer? Tumia akili wewe mburula!Waziri sio accounting officer, hatuna shida naye
Dollar zooote hizi kajimegeaHuyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Juha Elitwege hajui hilo,hii mijitu ni takataka kabisa2023 haijaisha
Yaani mtaani wanasema tulipe kwa control number, enzi ya jiwe, plea bargaining control number zao zilikuwa maboxDollar zooote hizi kajimegeaView attachment 2585593
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app