Rais, tunamuomba Dotto James atembelee Kisutu

Rais, tunamuomba Dotto James atembelee Kisutu

Doto aende kisutu atatoka kwa plea bargaining.
Arudishe tozo zetu,afilisiwe ndio afungwe
 
Itakusaidia nini kwanza? Roho ya kunguni imewajaa na hapo hakuna maendeleo.
Mnawekeana visasi badala ya kujenga nchi.
Jenga nchi
 
Kwa maoni yangu wanao takiwa kuwajibika hadi sasa ni wafuatao....
1. Makame Mbarawa
2. January Makamba
3. Nape Nnauye
4. Mwigulu Nchemba
5. Mwana sheria mkuu wa serikali
Kwanini umewaacha
Ummy Mwalimu
Jenista Mhagama
Jumaa Aweso

Ingawa watu wana wataalam wao lakini waone aibu sasa
 
Waliohusishwa na ufisadi mostly 95% ni wateule wa aliyekuwepo nyakati zile, she must..........!
(Upo uwezekano kuna fungu kubwa linakusanywa ili kuja kuhonga wajumbe)
Ingawaje tumesha mpitisha, huu wizi unaushirikiano mkubwa sana, na si kamtu kamoja kanaiba tu.
Nijuavyo mimi hoja za CAG zinatakiwa zijibiwe na Serikali iliyopo madarakani. ila Inaonekana hii ripoti ya sasa ni CAG + Awamu ya 6 dhidi ya Serikali ya awamu ya 5! Mmemsikia Zitto kaibuka, specifically kumbomoa marehemu, hutamsikia akigusa queries za awamu hii. Cha kushangaza ripoti ni ya 2021-2022 ambapo jiwe alishatuacha so kimsingi sijui nani anatakiwa atetee.
Mkimtafuta Dotto James naomba pia mumhoji na aliyekuwa Waziri wa Fedha wa wakati huo, waziri wa uchukuzi ndo yule yule.
 
Sio Dotto James peke yake bali wote wale ambao CAG ameibua madudu yao washughulikiwe bila huruma !! Wezi wa kuku mtaani wanachomwa moto !! Mungu anawaona. !!
Kwa maana hiyo PM na VP hawachomoi?
 
Kwa maoni yangu wanao takiwa kuwajibika hadi sasa ni wafuatao....
1. Makame Mbarawa
2. January Makamba
3. Nape Nnauye
4. Mwigulu Nchemba
5. Mwana sheria mkuu wa serikali
Yes, sawa kabisa. Hawa ndiyo wajibu hoja za CAG siyo mnatafuta marehemu
 
Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
si ajabu mkampeleka kisutu akawamwagia vimemo kuthibitisha kuwa alikuwa anatekeleza amri za wakubwa wake wa juu wale watatu na aliyekuwa waziri wake wa fedha na watatu bado wapo
 
si ajabu mkampeleka kisutu akawamwagia vimemo kuthibitisha kuwa alikuwa anatekeleza amri za wakubwa wake wa juu wale watatu na aliyekuwa waziri wake wa fedha na watatu bado wapo
Avilete tu
 
Ripoti ya 2023 wewe unataja Doto James?
Kwani huyo dotto sasa yupo wapi? Twambie alipo we kila tukipaza sauti juu y waloiba pesa za umma unatupangia wa kuwataja mkuu? Una maslahi gani na hili kundi?
 
Dotto James immediate chief wake alikuwa Philip Mpango.Philip Mpango leo ni Makam wa Rais.HAITATOKEA kama ambavyo HAIKUTOKEA kwa Paul Makonda.
Tunywe maji tutulie ila kuna kishindii kitawastua.
Duh 🙄 !
 
Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.

Kumchukulia hatua Dotto James peke yake bila kumuhusisha aliyekuwa Waziri wake wa fedha Philip Mpango itakuwa sio haki!! Msiogope cheo cha mtu bali tendeni haki mbele ya Mungu.
 
Kumchukulia hatua Dotto James peke yake bila kumuhusisha aliyekuwa Waziri wake wa fedha Philip Mpango itakuwa sio haki!! Msiogope cheo cha mtu bali tendeni haki mbele ya Mungu.
Waziri sio accounting officer, hatuna shida naye
 
Waziri sio accounting officer, hatuna shida naye
Mnapotaka Mwigulu,Mbarawa, Nape na January wawajibike kwani wao ni accounting officers? He was an authorizing officer1 Lowassa alipowajibika na RICHMOND alikuwa accounting officer? Tumia akili wewe mburula!
 
Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Dollar zooote hizi kajimegea
img_3_1680413385526.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom