Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiye huyo ni mpwa wa dhalim dikteta uchwaraHuyu kheri James ni yule alietamka jukwaani eti.. "Mpaka tuwape mimba wake zenu ndio muamini kazi tunayofanya"?
Mikojo ya wanaume imekuathiri sanaHuo sasa ndo uenezi bora wa kukabiliana na Vibaka wanaosema Bodaboda ni laana
Chama cha Chato.Hapana tunachagua haohao wa nenda rudi manake ndo wanakijua chama na wana uweledi wa kutosha🤣🤣
Jamaa yuko vizuri sana,naamini mdomo,maarifa ya kueneza siasa na kudili na propaganda za upinzani uchwara anawezaWanaJf,
SALAAM!
Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.
Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.
Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.
Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Kwani lazima wale wale tuliowazoea ndio wapewe nafasi,kwani aliepo ana shida gani?WanaJf,
SALAAM!
Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.
Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.
Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.
Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Hakuna kitu kama hicho,serikali ikifanya kazi yake ipasavyo itakubalika tu sio kua na mwenezi wala nini.Uenezi akipewa yule amini kura za ccm watazoa maana anajua sana yule dada
Kuna yule Jesca Msambatavangu-Mbunge Iringa Mjini,lile jembe kwa upande wa wanawake kama ni zamu Yao kuwa wenezi yule anafaa.
chawa wa Kheri James kama si Kheri James mwenyewe.
Huo sasa ndo uenezi bora wa kukabiliana na Vibaka wanaosema Bodaboda ni laana
Yule anajua kujenga hoja,ikishindikana ata Askofu Gwajima naye yupo njema.
Ni vile tu kwasasa vyama mbadala hasa CHADEMA vipo hoi, ila CCM haina Katibu wa Itikadi na uenezi kabisa. Na hata Katibu Mkuu wao amepwaya sana kwenye hiyo nafasi.
Jamaa yuko vizuri sana,naamini mdomo,maarifa ya kueneza siasa na kudili na propaganda za upinzani uchwara anaweza
Ndiye huyo ni mpwa wa dhalim dikteta uchwara
WanaJf,
SALAAM!
Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.
Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.
Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.
Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Huyo hafai kabisa,muuajiCCM ya sasa haihitaji viongozi wauaji.
'Safari hii Lisu akija tutamchoma sindano ya sumu, hatuwezi kumkosa tena. Tulimkosakosa mara ya kwanza', Heri James
Yule ni takataka tu!Wewe mkaribishe nyumbani kwako tu itatosha
Ndio huyu mbwa!Huyu kheri James ni yule alietamka jukwaani eti.. "Mpaka tuwape mimba wake zenu ndio muamini kazi tunayofanya"?
Kura zipi? Zile za mwendazake? Manina!Uenezi akipewa yule amini kura za ccm watazoa maana anajua sana yule dada