Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

Ni vile tu kwasasa vyama mbadala hasa CHADEMA vipo hoi, ila CCM haina Katibu wa Itikadi na uenezi kabisa. Na hata Katibu Mkuu wao amepwaya sana kwenye hiyo nafasi.
 
..utatuzi wa KERO za wananchi ndio mwenezi na mtetezi namba moja wa chama kilichoko madarakani.

..nchi hii haiendelei, imekwama, kutokana na utamaduni potofu wa wana CCM kuamini ktk propaganda badala ya kutatua kero za wananchi.
 
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Jamaa yuko vizuri sana,naamini mdomo,maarifa ya kueneza siasa na kudili na propaganda za upinzani uchwara anaweza
 
Kwani lazima wale wale tuliowazoea ndio wapewe nafasi,kwani aliepo ana shida gani?

Acheni na watanzania wengine wapate nafasi.
Sio kila siku wale wale tu,kwani lazima mpate kazi huko?

Tunajua kakutuma umpigie debe,Mwambie hii nchi watz wapo wengi wanaostahili hizo nafasi,sio lazima ateuliwe kazi zipo nyingi

Akalime,kwani wanaolima sio Watz,hata wao wanastahili hizo nafasi za kuteuliwa sio yeye tu
 
Kuna yule Jesca Msambatavangu-Mbunge Iringa Mjini,lile jembe kwa upande wa wanawake kama ni zamu Yao kuwa wenezi yule anafaa.

Naye atapwaya vizuri tu. Ile nafasi ilimfaa Sana Nape.
 
Huo sasa ndo uenezi bora wa kukabiliana na Vibaka wanaosema Bodaboda ni laana

Vibaka unawajua?. Kaangalie kilichotokea bungeni Leo vibaka wameiba bilioni 47. Usiongee vitu kwa sifa. Kheri James mwenyewe aliomba radhi kwa kauli zake baada ya kugundua alikosea.
 
Yule anajua kujenga hoja,ikishindikana ata Askofu Gwajima naye yupo njema.

Hakuna Cha hoja Wala Nini, wote hai watapoteana. Serikali ikiboronga hata ungefanya uenezi wa first utaonekana katuni tu.
 
Ni vile tu kwasasa vyama mbadala hasa CHADEMA vipo hoi, ila CCM haina Katibu wa Itikadi na uenezi kabisa. Na hata Katibu Mkuu wao amepwaya sana kwenye hiyo nafasi.

Acha zako, hivi Kuna chama kinachofanya mikutano zaidi ya CHADEMA?. Uhai wa chama ni kwenye majukwaa, sio kwenye tv na kauli za kinafiki.
 
Jamaa yuko vizuri sana,naamini mdomo,maarifa ya kueneza siasa na kudili na propaganda za upinzani uchwara anaweza

Naye atapwaya tu. Unadhani Sofia amepwaya kwa kupenda? Pale walipaweza Wawili tu Nape na Polepole.
 
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.

CCM ya sasa haihitaji viongozi wauaji.

'Safari hii Lisu akija tutamchoma sindano ya sumu, hatuwezi kumkosa tena. Tulimkosakosa mara ya kwanza', Heri James
 
Back
Top Bottom