DOKEZO Rais tuokoe Wananchi wako wa Dodoma Jiji juu ya dhuluma hii ya Mkurugenzi Jiji. Mkuu wa wilaya kashindwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mbuzi mee

Senior Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
156
Reaction score
217
Kichwa cha habari cha jitosheleza.

Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.

Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na serikali iliyopita hivyo hawakuwa na fedha ya kulipa fidia. Hivyo wakasema watawapa viwanja sehemu yenye gharama ili wao ndio waviuze kwa thamani kubwa. Eneo hilo plot no

157 Medeli East-Dodoma​

Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya  MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK, B.O.T, HAZINA.
 
HIYO FIDIA MLIKUBALI VIPI? HAPAKUWA NA MIUNDO MBINU MKUU? KWANINI MLIONDOKA MAENEO YENU BILA FIDIA?.
 
KIONGOZI tulikubali sababu eneo tulilopelekwa Lina thamani zaidi na hati tumeshalipia baada ya kupewa invoice...
Lakini Cha kushangaza MSD wanatokea wanasema like eneo lao walipewa na JIJI na wameshalipia Kodi ya pango ya ardhi mpaka 2025..

Mkurugenzi haeleweki KILA siku anatuzungusha Sasa ishapita MIAKA miwili Toka tubomolewe KATIKA maeneo halali..

Mkuu wa wilaya na yeye ukienda kwake Kwa ajili ya msaada na yeye anasema anazidi changanyikiwa na hizi kesi ZA ardhi zilizokithiri DODOMA anarudisha Tena mpira Kwa mkurugenzi na maafisa mipango waliotupa eneo Hilo km fidia badala ya fedha
 
Huyu Mkurugenzi wa jiji la Dodoma ni asusa linaloliwa na wakubwa huko juu.Ameleta migogoro mingi mno ya Ardhi hapo Dodoma,cha ajabu Tamisemi hawamgusi,kwa kuwa Mawaziri Makatibu wakuu anawafanikishia mambo yao pale wanapotaka Ardhi hapo Dodoma ndiyo maana watu wa chini hana habari nao,na hawezi kukwepa lawama maana kabla ya kuwa Mkurugenzi alikuwa Afisa mipango miji wa halmashauri.Kwa ujumla huyu jamaa hagusiki
 
Umenifungua macho maana inashangaza mtu kutokuwa na uoga Kabisa ,kutoa eneo Moja Kwa taasisi na hapo hapo kuwapa wananchi
 
Huyu Mkurugenzi wa jiji la Dodoma ni asusa linaloliwa na wakubwa huko juu.Ameleta migogoro mingi mno ya Ardhi hapo Dodoma,cha ajabu Tamisemi hawamgusi,kwa kuwa Mawaziri Makatibu wakuu anawafanikishia mambo yao pale wanapotaka Ardhi hapo Dodoma ndiyo maana watu wa chini hana habari nao,na hawezi kukwepa lawama maana kabla ya kuwa Mkurugenzi alikuwa Afisa mipango miji wa halmashauri.Kwa ujumla huyu jamaa hagusiki
Ila Mungu hadhihakiwi
 
Kichwa cha habari cha jitosheleza.

Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.

Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na serikali iliyopita hivyo hawakuwa na fedha ya kulipa fidia. Hivyo wakasema watawapa viwanja sehemu yenye gharama ili wao ndio waviuze kwa thamani kubwa.

Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya  MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK, B.O.T, HAZINA.
Duh,yaani Serikali pia imewapiga
 
Duh,yaani Serikali pia imewapiga
Huo ndio ukweli..fikiria mtu mko kwenu nyumba zenu Tena 2km Toka city center wanakuja WA SERIKALI wanataka tanua stend pamoja na soko..mnafanyiwa tathmini ya malipo.

ila badae wanakuja wanawaambia fedha iliyotengwa imechukuliwa na mtu fulani kipindi cha uchaguzi ila wana maeneo yana thamani kubwa iwapo mtakubali watawapa ili kufidia nyumba zenu watakazo bomoa kupisha mradi.

mnakubali baada ya kupelekwa kuyaona ,mnaenda kupanga nyumba ili kuruhusu mradi uendelee mkisubiri hati walizowaahid zitatoka haraka baada ya kupewa invoice na kuzilipia baada ya kuonyeshwa kila mtu kiwanja chake na idadi yenu mko kumi tu tokana na udharura wa makazi ya muda ili wale wenye uharaka wa kuyauza wauze au vyovyote vile..

mara ghafla mnaambiwa na hao maafisa mipango kwamba kapatikanika mtu toka dubai anataka kununua hilo eneo lote kwa pamoja hivyo tukipewa hati tumuuzie yeye..mnakaa mnasubiri hati heee wanatokea MSD wanabandika bicon zao wanasema hilo ni eneo lao....!!!!!!
mnaanza tena kuhangaika na danadana za mkurugenzi ile kila siku sound mpya...

mkienda kwa mkuu wa wilaya anashughulika na nyie vizur mwanzoni ila baada ya muda nae anasema kashachoka na kesi nyingi za ardhi na watu wa mipango miji na mkurugenzi maana kila kona analetewa hizo hizo kesi na haziishi.
 
Jioganaizini mumtafute wakili mzuri muwafungulie mashtaka
 
Sasa inakuwaje kiongozi mkubwa wa serikali anakuwa tapeli? Je, wale watumishi wa chini wa serikali wanaweza kuwa waadilifu au ndio na wao wataiga ubadhilifu?

Hii nchi ni ngumu sana kiendelea mana kila mtu akipata nafasi anajali tumbo lake na familia yake. Hakuna kuwaza future ya nchi na vizazi vijavyo!
 
km mkuu wa wilaya anasema amechoka na hizi kesi zimekuwa nyingi sana....maana yake tutakuwa tumepigwa wengi sana maeneo tofauti tofauti...Maana huwa anatuita pamoja na maafisa mipango miji ila wanaaishia kukiri makosa na kuanza kutupiga tarehe kila mwezi huu sasa mwaka wa pili bado tunapigwa sound kwamba watarekebisha watarekebisha
 
Poleni sanaaa, kwa kweli inaleta huzuni kuona mtumishi wa serikali tena boss wa watumishi halmashauri anatumika kuwadhulumu wananchi. I wish I could be.......[emoji52]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
km mkuu wa wilaya anasema amechoka na hizi kesi zimekuwa nyingi sana....maana yake tutakuwa tumepigwa wengi sana maeneo tofauti tofauti...Maana huwa anatuita pamoja na maafisa mipango miji ila wanaaishia kukiri makosa na kuanza kutupiga tarehe kila mwezi huu sasa mwaka wa pili bado tunapigwa sound kwamba watarekebisha watarekebisha
Huwa naona kuna ugumu sana pale unapotapeliwa na kiongozi wa serikali, mana anakuwa anaku-block kwa viongozi wenzake, kwa sababu wote lao ni moja.

Poleni sana, ila mtapata haki yenu.
 
Wezi wa kuku au simu au nguo mnapiga mnauwa tena kwa hasira mkijua wazi kuwa hasara ya kuku au simu hawezi kukurudisha nyuma kimaendeleo kwa kiasi kikubwa. Ila majizi yanayowadhulumu mali zenye thamani za mamilioni tena haki yenu kabisa na hayo majitu yanaigiza kuwa ni watendaji wa serikali mnawachekea na kuwaogopa.

Huyo jiundeni kundi la watu kuanzia elfu moja nendeni ofisi alipo mtoeni nje pigeni mawe hadi afe, serikali haiwezi shitaki watu 1000 kwapamoja kwa ushahidi upi maana ni Mob justice.

Tuanze tu huu utaratibu tutawapunguza.
 
Hii hatua tutafika tu Mungu tu asaidie maana mateso yamezidi sana..kama walikuwa hawajajipanga walikuwa na uharaka gani sijui kutubomolea ?
 
Leo nimeona mtu anazungumzia ukiritimba wa rushwa ofisi ya mkurugenzi wa jiji dodoma .
 
Back
Top Bottom