DOKEZO Rais tuokoe Wananchi wako wa Dodoma Jiji juu ya dhuluma hii ya Mkurugenzi Jiji. Mkuu wa wilaya kashindwa

DOKEZO Rais tuokoe Wananchi wako wa Dodoma Jiji juu ya dhuluma hii ya Mkurugenzi Jiji. Mkuu wa wilaya kashindwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mpaka leo suala hili halijatatuliwa..wananchi wamebolewa serikali haijui wanaishi wapi mwaka wa pili..kila wakienda kwa mkurugenzi wanarushwa na kupigwa kalenda mara MCHUMI hayupo mara mkurugenzi kaja mpya...viwanja walivyopewa fidia medeli block 157 kumbe walishawapa MSD yaani nchi inaenda kihuni sana
 
Wahuni Sana Nkuhungu broad acre Magige na Luisi wamengangania maeneo ya watu yenye upimaji kwakusingizia Wavamizi kama ni Wavamizi kwanini wasiwalipe wenye hati
Wezi Sana hawa uonezi mtupu na utawala Wilaya Mkoa wapo lkimya Rushwa tupu
Mtaka Rc alipo fuata haki itendeke wakamuhamisha
 
Mtaka alikuwa mtu yule...na kweli alikuwa tishio kwa inshu zao za udhulumati
 
Mpaka leo suala hili halijatatuliwa..wananchi wamebolewa serikali haijui wanaishi wapi mwaka wa pili..kila wakienda kwa mkurugenzi wanarushwa na kupigwa kalenda mara MCHUMI hayupo mara mkurugenzi kaja mpya...viwanja walivyopewa fidia medeli block 157 kumbe walishawapa MSD yaani nchi inaenda kihuni sana
Kwamba kuna mtu keshakula pesa yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha habari cha jitosheleza.

Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.

Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na serikali iliyopita hivyo hawakuwa na fedha ya kulipa fidia. Hivyo wakasema watawapa viwanja sehemu yenye gharama ili wao ndio waviuze kwa thamani kubwa. Eneo hilo plot no

157 Medeli East-Dodoma​

Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya  MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK, B.O.T, HAZINA.
Mambo ya DP hayo
 
Nyie wagogo pamoja na kuletewa uwekezaji mkubwa kabisa wa majengo ya serikali, maofisi, watumishi wengi wa umma wamehamia hapo, inakuwaje Mkoa wenu bado masikini?
Mkuu nyie mkoa wenu upi ambao sio masikini
 
Huo ndio ukweli..fikiria mtu mko kwenu nyumba zenu Tena 2km Toka city center wanakuja WA SERIKALI wanataka tanua stend pamoja na soko..mnafanyiwa tathmini ya malipo.

ila badae wanakuja wanawaambia fedha iliyotengwa imechukuliwa na mtu fulani kipindi cha uchaguzi ila wana maeneo yana thamani kubwa iwapo mtakubali watawapa ili kufidia nyumba zenu watakazo bomoa kupisha mradi.

mnakubali baada ya kupelekwa kuyaona ,mnaenda kupanga nyumba ili kuruhusu mradi uendelee mkisubiri hati walizowaahid zitatoka haraka baada ya kupewa invoice na kuzilipia baada ya kuonyeshwa kila mtu kiwanja chake na idadi yenu mko kumi tu tokana na udharura wa makazi ya muda ili wale wenye uharaka wa kuyauza wauze au vyovyote vile..

mara ghafla mnaambiwa na hao maafisa mipango kwamba kapatikanika mtu toka dubai anataka kununua hilo eneo lote kwa pamoja hivyo tukipewa hati tumuuzie yeye..mnakaa mnasubiri hati heee wanatokea MSD wanabandika bicon zao wanasema hilo ni eneo lao....!!!!!!
mnaanza tena kuhangaika na danadana za mkurugenzi ile kila siku sound mpya...

mkienda kwa mkuu wa wilaya anashughulika na nyie vizur mwanzoni ila baada ya muda nae anasema kashachoka na kesi nyingi za ardhi na watu wa mipango miji na mkurugenzi maana kila kona analetewa hizo hizo kesi na haziishi.
Kwa kifupi nyie watu 10 mmepigwa na kitu kizito kichwani. Ushauri wangu kama mna uhakika ni serikali iliwapanga nendeni mahakamani ila kwa ninavojua na maelezo yako kwa 100% mmekutana na matapeli waliotumia jina la serikali.
 
Wezi wa kuku au simu au nguo mnapiga mnauwa tena kwa hasira mkijua wazi kuwa hasara ya kuku au simu hawezi kukurudisha nyuma kimaendeleo kwa kiasi kikubwa. Ila majizi yanayowadhulumu mali zenye thamani za mamilioni tena haki yenu kabisa na hayo majitu yanaigiza kuwa ni watendaji wa serikali mnawachekea na kuwaogopa.

Huyo jiundeni kundi la watu kuanzia elfu moja nendeni ofisi alipo mtoeni nje pigeni mawe hadi afe, serikali haiwezi shitaki watu 1000 kwapamoja kwa ushahidi upi maana ni Mob justice.

Tuanze tu huu utaratibu tutawapunguza.
Hichi ndicho kilichobaki
 
Kichwa cha habari cha jitosheleza.

Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.

Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na serikali iliyopita hivyo hawakuwa na fedha ya kulipa fidia. Hivyo wakasema watawapa viwanja sehemu yenye gharama ili wao ndio waviuze kwa thamani kubwa. Eneo hilo plot no

157 Medeli East-Dodoma​

Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya  MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK, B.O.T, HAZINA.
Amkeni na mapanga, mkimsubiri mama mtakesha.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Jamani kuweni na huruma kidogo, mama mwenyewe hamumuoni anaomba kusaidiwa li nchi limegeuka zigo la misumari? Na hili likitizamwa mtaambiwa mnapiga kelele tu ama mnademka demka
 
Mpaka leo kimya hii nchi ngumu sana...watu zaidi ya miaka miwili baada ya kubomolewa hakuna fidia ..au kwa vile viwanja vya Morena hotel block C 157 medeli wakubwa Mmegawana na ndio mnashindwa kuwasaidia wananchi hawa kupata haki yao?
 
Rais Rais tunakuomba hii dhuluma inawatesa wananchi... mkurugenzi aliyepita Mafuru ni zaidi ya mnyama...yeye na na iliyokuwa timu yake mipango miji... Wameumuza sana wananchi wa Dodoma jiji
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia nisifanye haraka kununua ardhi Dodoma. Dodoma kuna migogoro mingi sana ya ardhi
 
Back
Top Bottom