Wahuni Sana Nkuhungu broad acre Magige na Luisi wamengangania maeneo ya watu yenye upimaji kwakusingizia Wavamizi kama ni Wavamizi kwanini wasiwalipe wenye hatiMpaka leo suala hili halijatatuliwa..wananchi wamebolewa serikali haijui wanaishi wapi mwaka wa pili..kila wakienda kwa mkurugenzi wanarushwa na kupigwa kalenda mara MCHUMI hayupo mara mkurugenzi kaja mpya...viwanja walivyopewa fidia medeli block 157 kumbe walishawapa MSD yaani nchi inaenda kihuni sana
Mtaka alikuwa mtu yule...na kweli alikuwa tishio kwa inshu zao za udhulumatiWahuni Sana Nkuhungu broad acre Magige na Luisi wamengangania maeneo ya watu yenye upimaji kwakusingizia Wavamizi kama ni Wavamizi kwanini wasiwalipe wenye hati
Wezi Sana hawa uonezi mtupu na utawala Wilaya Mkoa wapo lkimya Rushwa tupu
Mtaka Rc alipo fuata haki itendeke wakamuhamisha
Anaeongaza hii dhuluma ni nani mkuuMtaka alikuwa mtu yule...na kweli alikuwa tishio kwa inshu zao za udhulumati
Kwamba kuna mtu keshakula pesa yao?Mpaka leo suala hili halijatatuliwa..wananchi wamebolewa serikali haijui wanaishi wapi mwaka wa pili..kila wakienda kwa mkurugenzi wanarushwa na kupigwa kalenda mara MCHUMI hayupo mara mkurugenzi kaja mpya...viwanja walivyopewa fidia medeli block 157 kumbe walishawapa MSD yaani nchi inaenda kihuni sana
Mambo ya DP hayoKichwa cha habari cha jitosheleza.
Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.
Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na serikali iliyopita hivyo hawakuwa na fedha ya kulipa fidia. Hivyo wakasema watawapa viwanja sehemu yenye gharama ili wao ndio waviuze kwa thamani kubwa. Eneo hilo plot no
157 Medeli East-Dodoma
Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK, B.O.T, HAZINA.
Walio Pinga maelekezo ya Mtaka haki itendeke
Mkuu nyie mkoa wenu upi ambao sio masikiniNyie wagogo pamoja na kuletewa uwekezaji mkubwa kabisa wa majengo ya serikali, maofisi, watumishi wengi wa umma wamehamia hapo, inakuwaje Mkoa wenu bado masikini?
Kwa kifupi nyie watu 10 mmepigwa na kitu kizito kichwani. Ushauri wangu kama mna uhakika ni serikali iliwapanga nendeni mahakamani ila kwa ninavojua na maelezo yako kwa 100% mmekutana na matapeli waliotumia jina la serikali.Huo ndio ukweli..fikiria mtu mko kwenu nyumba zenu Tena 2km Toka city center wanakuja WA SERIKALI wanataka tanua stend pamoja na soko..mnafanyiwa tathmini ya malipo.
ila badae wanakuja wanawaambia fedha iliyotengwa imechukuliwa na mtu fulani kipindi cha uchaguzi ila wana maeneo yana thamani kubwa iwapo mtakubali watawapa ili kufidia nyumba zenu watakazo bomoa kupisha mradi.
mnakubali baada ya kupelekwa kuyaona ,mnaenda kupanga nyumba ili kuruhusu mradi uendelee mkisubiri hati walizowaahid zitatoka haraka baada ya kupewa invoice na kuzilipia baada ya kuonyeshwa kila mtu kiwanja chake na idadi yenu mko kumi tu tokana na udharura wa makazi ya muda ili wale wenye uharaka wa kuyauza wauze au vyovyote vile..
mara ghafla mnaambiwa na hao maafisa mipango kwamba kapatikanika mtu toka dubai anataka kununua hilo eneo lote kwa pamoja hivyo tukipewa hati tumuuzie yeye..mnakaa mnasubiri hati heee wanatokea MSD wanabandika bicon zao wanasema hilo ni eneo lao....!!!!!!
mnaanza tena kuhangaika na danadana za mkurugenzi ile kila siku sound mpya...
mkienda kwa mkuu wa wilaya anashughulika na nyie vizur mwanzoni ila baada ya muda nae anasema kashachoka na kesi nyingi za ardhi na watu wa mipango miji na mkurugenzi maana kila kona analetewa hizo hizo kesi na haziishi.
Hichi ndicho kilichobakiWezi wa kuku au simu au nguo mnapiga mnauwa tena kwa hasira mkijua wazi kuwa hasara ya kuku au simu hawezi kukurudisha nyuma kimaendeleo kwa kiasi kikubwa. Ila majizi yanayowadhulumu mali zenye thamani za mamilioni tena haki yenu kabisa na hayo majitu yanaigiza kuwa ni watendaji wa serikali mnawachekea na kuwaogopa.
Huyo jiundeni kundi la watu kuanzia elfu moja nendeni ofisi alipo mtoeni nje pigeni mawe hadi afe, serikali haiwezi shitaki watu 1000 kwapamoja kwa ushahidi upi maana ni Mob justice.
Tuanze tu huu utaratibu tutawapunguza.
Amkeni na mapanga, mkimsubiri mama mtakesha.Kichwa cha habari cha jitosheleza.
Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.
Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na serikali iliyopita hivyo hawakuwa na fedha ya kulipa fidia. Hivyo wakasema watawapa viwanja sehemu yenye gharama ili wao ndio waviuze kwa thamani kubwa. Eneo hilo plot no
157 Medeli East-Dodoma
Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK, B.O.T, HAZINA.
Huo uwezekano upo kabsaa...maana haiwezekani mtu ubomolewe nyumba zaid ya miaka miwili karibu mitatu sasa alafu mzungushwe kwenye malipo...na sehemu mliyobomolewa thamani ya viwanja imeshafika million 200 na zaidi...
Maafisa mipango jiji,mchumi na mkurugenzi aliyetumbuliwa Mafuru..
Nala, Lugala, Mbalawala kumejaa?Umenifungua macho maana inashangaza mtu kutokuwa na uoga Kabisa ,kutoa eneo Moja Kwa taasisi na hapo hapo kuwapa wananchi