Rais tupia Jicho malalamiko ya askari wako hayana afya kwa Nchi

Hao wanaolalamika wamo na wale wenye vyeo vikubwa vikubwa?
 
Bila katiba Bora Katiba Mpya ni ndoto watanzania kupata nchi wanayoitaka
 
Ni bora wachukie ili waungane na wananchi waliochukia kwa muda mrefu, \kuchekacheka na kusifia kinafiki hata dini hanakataa!!
Hapa suluhisho ni Katiba Bora katiba Mpya. Pesa za wananchi zinatumiwa vibaya. Watumishi waaminifu kama wanajesi, polisi wanaumia
 
Ulichokiandika ni ukwelu mtupu.

Atakayepinga atakuwa na matatizo
 
Kwani kuna ulazima wa kuongea na kudharau kada nyingine,,Nchi km ujerimani kada ya ualimu na afya ndo uongoza kwa kulipwa vyema,,waziri wenu alishasema wengi wenu UWEZO mdogo,,ova
Sio vizuri kukashifiana kwenye mambo ya msingi.
 
Wale wenye vyeo vikubwa wanaonufaika moja kwa moja na siasa za hovyo wana maslahi mazuri na hawana habari na hiki kinachoongelewa hapa.
Nadhani hilo ndo tatizo viongozi wao pengine wanateuliwa kwa kubebwa ndo maana wanakuwa mabubu
 
Naomba Samia usiwape wapate na utimamu wa akili
 
Wewe ni ASKARI.
Lkn walimu hawapewi posho kama hizo mnazolalamika kila uchao.
NB POSHO NI HISANI SIO HITAJI LA KISHERIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…