- Thread starter
- #61
Thubutu Hisani ya nani!!? Kuna pesa ya serikali inayolipwa bila sheria inayosimamia malipo husika?????Wewe ni ASKARI.
Lkn walimu hawapewi posho kama hizo mnazolalamika kila uchao.
NB POSHO NI HISANI SIO HITAJI LA KISHERIA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu Hisani ya nani!!? Kuna pesa ya serikali inayolipwa bila sheria inayosimamia malipo husika?????Wewe ni ASKARI.
Lkn walimu hawapewi posho kama hizo mnazolalamika kila uchao.
NB POSHO NI HISANI SIO HITAJI LA KISHERIA.
Ndio ukweli. Ili mtumike kukandamiza wa chini kwa kanuni ya 'AMRI'Ni kweli tunapewa kila stahiki ili tunyamaze kuwatetea walio chini yetu.
MSICHEZEE PESA ZA WALIPA KODI, ALAFU MKISHA LIPWA MNATUMIKA VIBAYA ,MNAENDA KUWA BAMBIKIA KESI WANANCHINiliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa majeshi mbali mbali nafikiri toka kipindi cha Magufuli.
Binafsi sipendezwi na maneno ambayo yana malalamiko kuona yanatoka kwa askari ambae tunamtegemea akulinde wewe binafsi mh.rais ambae ni kiongozi wetu mkuu.
Askari hasa walioko wizara ya Mambo ya Ndani hasa polisi na Magereza nimewasikia mara nyingi wakilalamika kunyimwa posho zao za Maji na Umeme nadhani wewe Rais utakuwa unazielewa vema kuliko mimi,,,,wanadai labda kuna watu Wizara wanazuia posho hizo kwani wamezidai ziingizwe katika mishahara yao muda mrefu sana,,,,wanaenda mbali wanadai wewe utakuwa unalielewa vema swala hilo ila kwa sababu pengine hutambui mxhango wao ndo maana unakaa kimya.
Mh. Rais nchi yetu si maskini kiasi hicho kushindwa kuwahudumia askari wako!!!
Wakati mwingine nakutana na askari wa Jwtz nao wana malalamiko kwamba posho yao ya chakula haiboreshwi hivyo kuwapa ugumu kuendana na hali ya maisha ya sasa,,,wanasema mkuu wao amekuwa mtu wa kuwadhibiti badala ya kushughulikia maslahi yao.
Askari wanadai waliongezwa posho yao kipindi cha uchaguzi 2015 ambapo Lowasa alitingisha Nchi hivyo serikali ya ccm ikatoa kama rushwa ili kukilinda chama.
Mh.,mimi kama raia ambae nakutakia mafanikio nisingependa uyaache malalamiko ya askari yanaelea angani maana kinachoweza kutokea unakijua mama angu.
Kumbuka askari si mwalimu au nesi kusema akigoma utamuacha mpaka atakapo jisikia arudi kazini,,nadhani unawajua hawa wadudu walivyo wakorofi mama .
Lakini bado nafikiri askari wetu nao wamesahau kiapo chao cha Uvumilivu maana wameapa hivyo!!! Wengine wanasema hawajaongezwa mshahara toka 2015 mimi nilidhani ni kwa kada nyingine kumbe nao wamo!!!?
Mh.,Nakutakia kila la kheri katika utawala wako ,,,Usiruhusu askari wako wakuchukie,,,ni bora uchukiwe na makada wa chama ila siyo akari wako Mh. Rais hilo ni kundi la kwanza kujipendekeza kwalo.
Si ndio wanapiga raia kipindi cha uchaguzi...wanyimwe tu, shenzi zao😀😀 😀 😀 😀 so what? Kama hajalipwa malimbikizo na madai asiseme?
kwa siku hizi inaonekana kazi ya laana....zamani waliheshimika sana sanaSi ndio wanapiga raia kipindi cha uchaguzi...wanyimwe tu, shenzi zao
Na hayo mavyeti yenu ya kuforge ndio mnataka muongezewe mshahara? Nyie subirini mtumike kama toilet paper wakati wa uchaguzi.Niliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa majeshi mbali mbali nafikiri toka kipindi cha Magufuli.
Binafsi sipendezwi na maneno ambayo yana malalamiko kuona yanatoka kwa askari ambae tunamtegemea akulinde wewe binafsi mh.rais ambae ni kiongozi wetu mkuu.
Askari hasa walioko wizara ya Mambo ya Ndani hasa polisi na Magereza nimewasikia mara nyingi wakilalamika kunyimwa posho zao za Maji na Umeme nadhani wewe Rais utakuwa unazielewa vema kuliko mimi,,,,wanadai labda kuna watu Wizara wanazuia posho hizo kwani wamezidai ziingizwe katika mishahara yao muda mrefu sana,,,,wanaenda mbali wanadai wewe utakuwa unalielewa vema swala hilo ila kwa sababu pengine hutambui mxhango wao ndo maana unakaa kimya.
Mh. Rais nchi yetu si maskini kiasi hicho kushindwa kuwahudumia askari wako!!!
Wakati mwingine nakutana na askari wa Jwtz nao wana malalamiko kwamba posho yao ya chakula haiboreshwi hivyo kuwapa ugumu kuendana na hali ya maisha ya sasa,,,wanasema mkuu wao amekuwa mtu wa kuwadhibiti badala ya kushughulikia maslahi yao.
Askari wanadai waliongezwa posho yao kipindi cha uchaguzi 2015 ambapo Lowasa alitingisha Nchi hivyo serikali ya ccm ikatoa kama rushwa ili kukilinda chama.
Mh.,mimi kama raia ambae nakutakia mafanikio nisingependa uyaache malalamiko ya askari yanaelea angani maana kinachoweza kutokea unakijua mama angu.
Kumbuka askari si mwalimu au nesi kusema akigoma utamuacha mpaka atakapo jisikia arudi kazini,,nadhani unawajua hawa wadudu walivyo wakorofi mama .
Lakini bado nafikiri askari wetu nao wamesahau kiapo chao cha Uvumilivu maana wameapa hivyo!!! Wengine wanasema hawajaongezwa mshahara toka 2015 mimi nilidhani ni kwa kada nyingine kumbe nao wamo!!!?
Mh.,Nakutakia kila la kheri katika utawala wako ,,,Usiruhusu askari wako wakuchukie,,,ni bora uchukiwe na makada wa chama ila siyo akari wako Mh. Rais hilo ni kundi la kwanza kujipendekeza kwalo.
Vyeti havibebi AK 47.Na hayo mavyeti yenu ya kuforge ndio mnataka muongezewe mshahara? Nyie subirini mtumike kama toilet paper wakati wa uchaguzi.
Vyeti havibebi AK 47.
Acha watulinde sie tule utelezi.