Rais tupia Jicho malalamiko ya askari wako hayana afya kwa Nchi

Wewe ni ASKARI.
Lkn walimu hawapewi posho kama hizo mnazolalamika kila uchao.
NB POSHO NI HISANI SIO HITAJI LA KISHERIA.
Thubutu Hisani ya nani!!? Kuna pesa ya serikali inayolipwa bila sheria inayosimamia malipo husika?????
 
MSICHEZEE PESA ZA WALIPA KODI, ALAFU MKISHA LIPWA MNATUMIKA VIBAYA ,MNAENDA KUWA BAMBIKIA KESI WANANCHI
 
Na hayo mavyeti yenu ya kuforge ndio mnataka muongezewe mshahara? Nyie subirini mtumike kama toilet paper wakati wa uchaguzi.
 
Wawe wapole wasubirie uchaguzi mkuu ukaribie thamani yao itaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…