Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi.

Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha

sasa kamwana anashindwa nn kuchukua hatua kabla ya kujifunza kwa rookie?
 
Back
Top Bottom