Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi.
Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha