Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Kwa mtu asiyejua nini maana ya kuwa kiongozi kama wewe itakuwa vigumu kuelewa kwanini Hayati Magufuli alikuwa anatembea na hela kiasi hicho. Nafikiri unajitoa fahamu sasa kwa kujifanya kama hukuona jinsi hizo hela zilivyokuwa zikitumika kwenye kusaidia kutatua matatizo ya papo kwa papo akiwa kwenye ziara zake za kauona shida ambazo wananchi wake wanakabiliana nazo. Kiongozi gani wa ulimwengu mwingine zaidi ya Hayati Magufuli na Thomas Sanakara wameweza fanya hivyo?
 
Jiwe lilitupwa kwa Jiwe na M7
 
Mnyonge yup aliyemsaidia? Alitoa pesa zake mfukoni au? Kama n Kodi za wananchi n haki yao s msaada huo
Kwani wewe tatizo lako lilikuwa ni nini? Tatizo lako lilikuwa ushamba wake wa kutembea na maburungutu ya pesa au? Kama ndiyo hivyo basi haijalishi kama hizo hela za umma au za kwake. Waliofaidika nazo si watanzania vile vile?
 
Kwani wewe tatizo lako lilikuwa ni nini? Tatizo lako lilikuwa ushamba wake wa kutembea na maburungutu ya pesa au? Kama ndiyo hivyo basi haijalishi kama hizo hela za umma au za kwake. Waliofaidika nazo si watanzania vile vile?
Una uhakika waliosaidiwa n wanyonge? Funguka akili weweee umejifungia kwenye boksi KODI n haki yako si msaada
 
Jifunze kuandika kwa vituo na paragraph ndio ujibu hoja yangu. Tatizo mnatoka kuchunga mbuzi halafu ukiuza mbuzi wa ukoo unanunua techno then unakuja kujibizana na watu usiowajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…